Hizo kamba kawapige walugaluga wenzako, ila nilichokuambia ndio ukweli, endelea kujidanganya, eti umbadilishe dini mtu ambaye amekaa madrasa na baba yake ni swala 5




tunajua hilo suala haliwezekani hata umzalishe mzee baba. Tumekumbana na hizo kesi zaidi ya 5 mpaka mtu unaamua unatafuta Mkristo mwenzako unaoa.
Kwa wasiojua utawadanganya ila nilichokuambia ndio ukweli, kwa Kesi ya Maunda Zorro iko open kabisa, mama yake ni mkristo hivyo ni rahisi mtoto kuamua wapi atafata, the same kwa PM Majaliwa na watoto wake ni Rahisi kuamua afate upande upi.
Ila kwa kesi yako kawadanganye wajinga wenzako.