Zahera Batani

Wacha aisee apumzike kwa kujirusha.. Kule alipokuwapo walimpa stress za kufa mtu.. Imagine walimuachia timu, akaleta mpaka wachezaji wa mkopo kwa hela na nguvu zake, akawapa anawapa wachezaji mpaka hela za kula, timu ikifungwa analia, lakini bado tu hawakuwa na shukurani, hela zake hawataki kumrudishia, wanataka kumrusha.. Gongowazi iko shida sana..

Ila aliambiwa, alikuwapo Tambwe Lea hapa, aliwapenda gongowazi kuliko hata mkewe, na bado wakamfurusha, lakini Zahera hakutaka kuamini..
 
Mchukueni nyie
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nami nimeshangaa. Zahera ajirushe na Mboni hadharani ilhali ni Mrs wa mtu?
Daaaah!! Nimecheka sanaa watu hatutaki kuangalia picha wala kuzoom vzry huyo ni mume wa mboni na sio zahera aliye kuwa kocha wa yanga angalieni vzry hiyoo picha [emoji1787][emoji1787]
 
Daah!!! We Mkuu. 🤔🤔🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…