Zaburi ya leo tupo hapa pub

Zaburi ya leo tupo hapa pub

Pombe ndiye mchungaji wangu sitapunguwa na pesa mfukoni, nitakapopita katika vichochoro na mabonde ya vibaka,sitaogopa maana yeye yu pamoja nami, kwenye mitaro ya maji machafu hunilaza, kando ya barabara huniongoza nisigongwe na magari, nami nitakaa karibu bar na milele!
 
Nimepita mitaa ile nimecheka sana!
Mmenifurahisha sana!

we acha tu mie mwenyewe mc nlikuwa nachukua darsa YNNAH ole wako sasa yakushinde maana tutakuchamba kweupeeeee peeee
 
Last edited by a moderator:
Namkumbuka hapa ila nashindwa jinsi ya kumtaja! amu tunamtaka yule dada yako Bonge wa cascakavila!

aaaa niombe samahani yule dogo sana kwangu umbo lisikudanganyane
 
Last edited by a moderator:
aaaa niombe samahani yule dogo sana kwangu umbo lisikudanganyane

Ehee, huyohuyo alikuwa ananichekesha sana
Halafu mimi napenda comedy kama nilizaliwa nayo!
 
we acha tu mie mwenyewe mc nlikuwa nachukua darsa YNNAH ole wako sasa yakushinde maana tutakuchamba kweupeeeee peeee

Ni darasa lililokamilika kwa mwali YNNAH
ikitokea mntaka kumchamba mnialike
maana nimeshuhudia mawosia toka kwako, wenzako wote hususan Madame B na Lady doctor!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom