Za nini lawama kwa Prof Kitila Mkumbo??!Mbona Mbatia hakulaumiwa kwa kukubali uteuzi wa raisi??!

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
899
1,230
Au mmesahau??!mwacheni afanye kazi jamani atusadie kuondoa adha y maji na kilimo duni cha umwagiliaji.. Tanzania kwanza siasa baadae.
 
..watumishi wa serikali (civil servants)hawapaswi kuwa makada/wakereketwa wa vyama vya siasa.

..Raisi amekosea kumteua Prof.Mkumbo kuingia ktk civil service. Hicho ndicho chanzo cha lawama unazozisikia.

..Prof.Kitila alipaswa kuteuliwa mbunge, mkuu wa mkoa, naibu waziri, au waziri, nafasi ambazo ni za kisiasa.

..Waziri wa Sheria na Mwanasheria Mkuu wa serikali wameshindwa kumshauri vizuri Raisi ktk uteuzi huu.
 
Hawana jinsi hao. Magufuli kawapiga vyenga hadi wamekosa uelekeo. Bungeni nako ndo ivo tena.

Sasa wamebakiza kutua nanga kwa wema na mange.
 
Wanaopinga wote wanasumbuliwa na wivu.. angeteuliwa wa kwao wasingeongea, kitila chapa kazi ww n mtu makini unaeaminika sana
Kwenye awamu hii kuna watu makini zaidi yake lakini wameshafanya nini? Kwenye utendaji wao wa kazi!! Imejaa maprof na ma phd holders tupu ila ukichunguza kwa makini utagundua kuwa kumbe kuongoza na kusimamia kile unachokiamini sio lazima uwe na elimu kubwa!!
 
..watumishi wa serikali (civil servants)hawapaswi kuwa makada/wakereketwa wa vyama vya siasa.

..Raisi amekosea kumteua Prof.Mkumbo kuingia ktk civil service. Hicho ndicho chanzo cha lawama unazozisikia.

..Prof.Kitila alipaswa kuteuliwa mbunge, mkuu wa mkoa, naibu waziri, au waziri, nafasi ambazo ni za kisiasa.

..Waziri wa Sheria na Mwanasheria Mkuu wa serikali wameshindwa kumshauri vizuri Raisi ktk uteuzi huu.
Mbona hata wakurugenzi wa halmashauri, manisapaa na majiji pamoja na makatibu tawala wa wilaya wengi walichaguliwa kwa kuangalia itikadi zao!!!
 
..watumishi wa serikali (civil servants)hawapaswi kuwa makada/wakereketwa wa vyama vya siasa.

..Raisi amekosea kumteua Prof.Mkumbo kuingia ktk civil service. Hicho ndicho chanzo cha lawama unazozisikia.

..Prof.Kitila alipaswa kuteuliwa mbunge, mkuu wa mkoa, naibu waziri, au waziri, nafasi ambazo ni za kisiasa.

..Waziri wa Sheria na Mwanasheria Mkuu wa serikali wameshindwa kumshauri vizuri Raisi ktk uteuzi huu.
Umesema kweli, sitashangaa nikisikia Lipumba ni Gavana wa BOT.
 
ACT wazalendo hao, nilikua sioni haja ya kuwa na vyama vingi vya upinzani lakini naanza kuona kuna vyama vimeanzishwa kwa sababu.
 
Wanaopinga wote wanasumbuliwa na wivu.. angeteuliwa wa kwao wasingeongea, kitila chapa kazi ww n mtu makini unaeaminika sana
Kama ni mtu makini basi na ajiandae kurudi ACT lakini si kwa style ya Lipumba.

Watu makini hawatakiwi kwenye maigizo. Nape alifanya linalopaswa kufanywa akajikuta yupo nje kesho yake. Kama anauweza ukauleni, na aitikie ndio mzee kwa kila atakachoambiwa, asilete usomi pale.
 
Back
Top Bottom