avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 7,421
- 13,027
Wabongo wakibanwa mwanya wa kupiga Pesa za mchongo lazima wakutengenezee zengwe ionekane hufai, hata viongozi waafilifu huteseka Sana kutegewa mitego mingi ikiwemo mpaka ya kienyejiTaarifa za ndani ya Simba SC zinaripoti kuwa, Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya kampuni ya Simba SC, Abdallah Salim 'Try Again' haelewani na Afisa Mtendaji Mkuu wake Barbara Gonzalez kwenye uendeshaji wa mambo katika klabu hiyo. Inaelezwa MO Dewji anamkingia kifua CEO.
source: @FutbalPlanetUpdates