Za Mbayuwayu Changanya na zakwako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Za Mbayuwayu Changanya na zakwako

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mlachake, Jul 3, 2012.

 1. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,919
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
  [h=3]HIKI NI KAMA KICHEKESHO LAKINI PIA YASIKITISHA,UBISHI WACHANGIA PIA AJALI YA CANTER - MBEYA.[/h]


  [​IMG]
  Gari aina ya Canter Toyota ikiwa imetumbukia katika mto Jianga maeneo ya Ilolo Jijini Mbeya, baada ya kuvunjika kwa daraja na katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa. Lakini wakazi wa eneo hilo walieleza kwamba daraja hilo ni bovu toka muda mrefu na viongozi wao hawajafanya jitihada zozote juu ya ubovu huo.
  [​IMG]
  Mmmh jamani hatari
  [​IMG]
  Wakazi wa eneo la jirani na tukio la ajali waliofika kudhuhudia tukio hilo.


  Hata hivyo kufuatia tukio hili,Kata za Ilemi,Sinde na Isanga zinapaswa kukutana katika meza moja ya mazungumzo kwa ajili ya kujenga daraja hilo ambalo ni kiunganishi cha kila pande na mara nyingi limekuwa likitumiwa na wagonjwa kwenda Kituo cha Afya cha Mwanjelwa na katika shughuli mbalimbali za kitaifa za kimaendeleo.
   
 2. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Poor guys
   
Loading...