Majenereata ameingia kwenye mfumo
Tuna shangazi yetu alikuwa Jasusi, msomi, kastaafu, kazaa hajaolewa, kazi yake ilikuwa kuwanasa wahujumu uchumi na wazinzi, ndio tulikubali alikuwa kwenye kazi ya kuwa "Honeytrap" viongozi wazinzi na mafisadi!Hapa kuna tofauti mbili kwenye lugha adhimu ya kiswahili
1. Za mwizi ni 40..❗ Hii ni taarifa❗
2.Zako zinahesabika..❗ Hii ni tahadhari❗
Haya mawili.. Taarifa na tahadhari havinaga mwisho mwema❗
Unapochokwa kwasababu zozote zile.. Kama kikomo cha faida yao kwao.. Ama kuingilia yasiyokuhusu❗ Ama kuota mapembe❗
Unaweza kutengenezewa utaratibu wa kutolewa kwenye circle❗
Huo utaratibu unaweza kuwa mnyoofu ama uliojaa mbigili na moja tu ikikuchoma waja wanaanua Tanga❗Maisha yanasonga
Nice kama vile huyu amekuwa kwenye mstari mwekundu(danger zone)❗Tangu yule aliponyakuliwa
Umbea na radio mbao za hapa na pale vinasema ameshanusurika (off targets) zisizopungua 2❗
Hii mpya ni comeback ya kinyumembele na wake up call kwamba bado tuko na wewe! ❗❕
Jitoe kwa hiari ama kaza fuvu tulipasue.❗
Eti wanasema kenge hawezi kusikia mpaka damu imtoke masikioni.❗Hawa hawakutoi damu tuu.. Watakutoa na sifongo❗🤷🏿♂🙌🏿
Anyway sisi acha tuendelee kunywa mtori, nyama tutazikuta chini.. lakini kwa hali ilivyo December mbali❗
View attachment 3682549
Ana machaguo nawili.Tuna shangazi yetu alikuwa Jasusi, msomi, kastaafu, kazaa hajaolewa, kazi yake ilikuwa kuwanasa wahujumu uchumi na wazinzi, ndio tulikubali alikuwa kwenye kazi ya kuwa "Honeytrap" viongozi wazinzi na mafisadi!
Madilu naye kaingia kwenye 18 za honeytrapers wa kisasa!
Hatumuonei HURUMA KABISA KABISA KABISA!
😅😄😹😆😂🤣
Jamaa ni mamafia kabisa!Ana machaguo nawili.
1. Akaze fuvu.. Waachie full version.
2. Akomae na kuingia rasmi kwenye mapambano
MasikitikoTena kama ni kaka au dada yenu mkubwa inaumiza sana!
Hapo sifongo inatoka ama wanang'oa maini🤔Hapa kuna tofauti mbili kwenye lugha adhimu ya kiswahili
1. Za mwizi ni 40..❗ Hii ni taarifa❗
2.Zako zinahesabika..❗ Hii ni tahadhari❗
Haya mawili.. Taarifa na tahadhari havinaga mwisho mwema❗
Unapochokwa kwasababu zozote zile.. Kama kikomo cha faida yao kwao.. Ama kuingilia yasiyokuhusu❗ Ama kuota mapembe❗
Unaweza kutengenezewa utaratibu wa kutolewa kwenye circle❗
Huo utaratibu unaweza kuwa mnyoofu ama uliojaa mbigili na moja tu ikikuchoma waja wanaanua Tanga❗Maisha yanasonga
Nice kama vile huyu amekuwa kwenye mstari mwekundu(danger zone)❗Tangu yule aliponyakuliwa
Umbea na radio mbao za hapa na pale vinasema ameshanusurika (off targets) zisizopungua 2❗
Hii mpya ni comeback ya kinyumembele na wake up call kwamba bado tuko na wewe! ❗❕
Jitoe kwa hiari ama kaza fuvu tulipasue.❗
Eti wanasema kenge hawezi kusikia mpaka damu imtoke masikioni.❗Hawa hawakutoi damu tuu.. Watakutoa na sifongo❗🤷🏿♂🙌🏿
Anyway sisi acha tuendelee kunywa mtori, nyama tutazikuta chini.. lakini kwa hali ilivyo December mbali❗
View attachment 3682549
Nasikia alikuwa anakoroma kama jenereta embu nipe description kidogo kilichopelekea hayo yoteKilichoonekana ni kiduchu tuu..
Ngoja siku ukutane na chatu au koboko nyoka huko 😄mimi nilishaamua kuwa nikiwa bongo no hotel, no apartment, ni mwendo wa majanini na migombani tu
Taja nyoka wote, ila Koboko pumbavu kabisa. Niliwahi kuingia chaka kumbe lina koboko mimi sijui, mbele kidogo mbele yangu pia kuna jamaa wawili wanatembe, nikasikia mlio wa kuku, kusikia vile wale jamaa jinsi walivyokurupuka nilishangaa bodaboda ikawa inaelekea uelekeo wao hata walivyoidandia na kuwa mshikaki sikuelewa najiuliza hawa jamaa ina maana wanakimbia kuku? Au pande hizi wana imani zao kuwa mlio huu ukisikika porini unaashiria jambo fulani baya. Nilipomaliza kujiuliza hivyo tu, nikaisikia sauti akilini ikiniambia “acha ufala, huyo ni Koboko”, nilikurupula, nadhani yule Kiboko akaamua kunipima upepo maana kila nikikata upepo namsikia analia kwenye majani just pembeni ya barabara, nikisema nisimamame nivute oumzi namsikia tena, analia prmbeni yangu. Nikasema asinitanie huyu, hajui kuwa Usain Bolt alikuwa mwanafunzi wangu. Nilikimbia kutoka mpaka nilipofika centre ya Rungwa ndiyo naona vipikipiki na vigari navyo vinaingia kutokea upande niliotoka. Siku hiyo sikulala hapoNgoja siku ukutane na chatu au koboko nyoka huko 😄
Ova
nasikia wana taarifa mpaka za Bi Mkubwa, kumbe anachezesha Upatu pale Ikulu na huku anawagaragaza wanawake wenzake kwa kusag*naKwenye dunia ya ujasusi.. Kitengo kina taarifa kamili za kila mhusika
Hobby zako
Matamanio yako
Udhaifu wako..nknk!
Kupitia faili lako ni rahisi mno kukutengeneza watakavyo🙌🏿🤔
Kama wewe ni mgonjwa wa chuchu mwiba unalengeshwa hukohuko.. Ukimaliza kunona dakika 20 nyingi.. Unaachwa unavuruga kimoko baada ya hapo unavurugikiwa❗🙌🏿😂 Unaweza kupigwa mpaka finga na usijue🤔🤣