Mie vitu ambavyo sijui vimekaa kwa muda gani nacheza navyo mbali, maziwa ya unga yanaweza yakawa ya mwaka 47 si unajua tena nchi yetu inavyofanywa dumping area, juzi tu watu wamelishwa mayai mabovu (sijui yalikuwa mayai viza?) yaliyomwaga kwa wingi inadaiwa toka China.