Shurti kwa urojo atakwambia mwenyewe.
Maziwa fresh yasiyochakachuliwa, kwa wale wapendao maziwa la sivyo ya rangi kishapo unashushia na glass ya fresh juice au sahani ya mixed fruits
Maziwa fresh yasiyochakachuliwa, kwa wale wapendao maziwa la sivyo ya rangi kishapo unashushia na glass ya fresh juice au sahani ya mixed fruits
Chai ya mdalasini na tangawizi kwa mbali BAK
Hilo nalo neno, unaweza ukapewa chai ya maziwa yaliyochakachuliwa hata ile ladha ya chai ya maziwa haipo tena, maziwa glass moja maji glass 8 lol!!!!
Hahahahaaa ila siku itaenda njema hata lunch ikipita wima shida haitakuwa kubwa kivile
Au kuna wale wanachanganya maziwa fresh na ya unga kunakuwa na ladha ya ajabu kweli halafu lazima tumbo lijae mno na mashoes kila dakika
We nawe kumbe mroho eeeh kama mdogo wangu donlucchese
Umejuaje?
Dah!!!! Nomaaa maziwa ya unga tena!! Mie bora nipe ya rangi yenye mchaichai.
Nadhani nilikusoma kwenye uzi wa urojo nimeutafuta holaaa, siuoni labda haukuanzishwa na wewe.
Hahahahaaa yule kazidi wewe njaa ikimuuma anakuwa kama mgonjwa kabisa