Yutong Vs scania Vs ud

Bado hakuna kampuni ya kuishinda Scania. Na labda huko ambapo Yutong zinasumbua wana Scania model za zamani. Sasa hivi kuna Scania F330 ambako kwa Mwanza wanazo kampuni ya Ally's, kwa Mbeya kuna Nganga, Budget, Moshi na Arusha kuna Dar-Express na mengineyo. Bado hakuna Yutong ya kukimbizana na hizo gari. Ina Scania Euro6 engine 9.0L Turbo Intercooler plus Turbo Compound inayogenerate 330HP na 1600 Nm of Torque and a top speed of 130kph (Scania Euro 6 buses and coaches) ulinganishe na Yutong yenye engine ya Cummins 300HP Turbo and the max speed of 110kph(ZK6116D-YUTONG). Nissan Diesel haziwezi kupambana na hao wawili kwa kuwa hazinaga Turbo ila zina sifa ambayo hayo yote hapo juu hayana nayo ni uwezo wa kwenda safari ndefu mno. Ukitaka kuhakiki angalia kampuni zenye mabasi yanayokwena nje ya nchi..

Juzi nimetoka Mbeya na Nganga ile kitu ni mwisho wa habari, hakuna Zhongtong wala Yutong, it is very powerful kiasi kwamba mnakuwa 120kph na bado engine in rev kwenye 1300-1500, inakimbia bila ku-struggle. Moro tumeingia saa 9.00 tukala faini kwa kuwahi na kupewa amri ya kusubiri mpaka saa 10.
 
Labda scania za 93/94 zeny hp 220_230 ndo zishindane na yutong coz zenyew zna torque kdogo kati ya 1050 _ 1200NM ila kwa durability bado scania yupo juu
 
Juzi nimetoka Mbeya na Nganga ile kitu ni mwisho wa habari, hakuna Zhongtong wala Yutong, it is very powerful kiasi kwamba mnakuwa 120kph na bado engine in rev kwenye 1300-1500, inakimbia bila ku-struggle. Moro tumeingia saa 9.00 tukala faini kwa kuwahi na kupewa amri ya kusubiri mpaka saa 10.

Inaitwa "low rev philosophy" by scania .!
Gari zenye nguvu kiasi hichokama hiyo F330, huwa zinadumu kwa muda mrefu sana kwa vile engine inakuwa under stressed, by the way hiyo nganga abood zina karibu miaka saba !
natamani upande lori za scania 164 l 580[v8] uone zinavyo hold torque, at 1100 rpm ,90km/h , huku lina tani 50 kwenye tela!
 
Afu ata tukisema tuangalie hp sana tunakosea kwa sababu engine za scania kama mkuu alivosema hapo juu hua hazizunguki sana (low rev) mwisho ni 1900rpm haijalish ina displacement ndogo au kubwa kwa cylinder , kama kanuni ya kutafuta hp inavosema ni (torque times angular shaft speed gawanya kwa 5252 ambayo ni sawa na torque in ft-ib *rpm/5252)=hp Mfano tukija kweny zhongtong yenye 360hp @ 2200 but only generate 1480Nm afu uje ufananishe na scania 3 series Displacement 11L yeny same hp 360hp and it generate a massive amount of torque 1700Nm .kwa mfano huo tunaona kwamba zhongtong imekuwa na 360hp had kufikia kulingana na scania 113 kwa sababu engine yake ina rev nying compared to scania one. Sasa hapo mtu ndo ajidanganye hyo 360hp ya zhongtong itaikamata scania yan hyo torque ya scania kweny mlima kama mnashuka vile
 
Afu Speed meter c tatizo na wala haimaanish kwmba inaweza fika mfano mzur range rover sport za diesel mwisho ni 190km/h lakin speedmeter yake ni 220km/h ni kwamba wanaotengeneza magar hawawez kutengenezea kila gar na speed meter yake itakuwa ukosefu wa akil ndo mana ata noah ina speedmeter ya kawaida 180km/h bt mwsho wa noah ni 170
 
Bado hakuna kampuni ya kuishinda Scania. Na labda huko ambapo Yutong zinasumbua wana Scania model za zamani. Sasa hivi kuna Scania F330 ambako kwa Mwanza wanazo kampuni ya Ally's, kwa Mbeya kuna Nganga, Budget, Moshi na Arusha kuna Dar-Express na mengineyo. Bado hakuna Yutong ya kukimbizana na hizo gari. Ina Scania Euro6 engine 9.0L Turbo Intercooler plus Turbo Compound inayogenerate 330HP na 1600 Nm of Torque and a top speed of 130kph (Scania Euro 6 buses and coaches) ulinganishe na Yutong yenye engine ya Cummins 300HP Turbo and the max speed of 110kph(ZK6116D-YUTONG). Nissan Diesel haziwezi kupambana na hao wawili kwa kuwa hazinaga Turbo ila zina sifa ambayo hayo yote hapo juu hayana nayo ni uwezo wa kwenda safari ndefu mno. Ukitaka kuhakiki angalia kampuni zenye mabasi yanayokwena nje ya nchi..

Tena hapo hyo yutong wameipendelea kuwa na 300hp cz wamepimia kweny rpm 2200 wakat scania kapimia kweny rpm 1900 na co kwamba haiwez kufika yutong,ilipofika ni kwamba scania katumia low rev philosophy ambapo hyo cummins ya 300hp ikipelekwa kwa scania ikapimwa kama nyingne itakua na 250 hp
 
Hapo sasa wengine tuliokimbia masomo ya sayansi yetu macho.
Maana hadi HP computer imo,au
 
YUTONF NI NYEPESI MNO HAZIPO STABLE KAMA SCANIA NIKISAFIRI KWA YUTONG HATA SISINZIII ILA ILOPOKIWA SCANIA NALALA KABISAA
 
Kwa uimara Scania inaonoza kwa mbali kuliko Yutong, Zipo bus za 1990 zinatembea bila tatizo. mchina hadumu barabarani, nadhani mnakumbuka zila bus zenye rangi ya bendera ya Marekani zimekaa barabarani miaka 3 na sasa hazipo. Pia zile buffalo za kichina zilifanya kazi kwa miaka 2 zikafa. Scania ni moto, usipime.
Umenkumbusha hizo bus zilikuwa znaitwa american passenger...nlikata tiketi siku 5 before safar ili niione ipoje
 
Mie naendelea kusema kuwa Scania ni moto mwingine kwa mbio hata durability. Ni gari ambayo mnapanda kitonga unaiskia kabisa Engine imerelax, au mnapanda Iyovia gari engine imerelax na ni mwendo wa mbio vile vile mwanzo mwisho. Ukija kwenye comfortability bado kuna air suspension ambazo hupunguza sana misukosuko ya Safari hasa vibration na kurusha kwenye bumps.
Mie kama nakata tiket na najua kampuni ina option ya Scania kama walivyo Kilimanjaro nafanya arrangement niondoke na Scania
 
Back
Top Bottom