Yutong Vs scania Vs ud

Kitoabu

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
10,327
10,943
wadau kuna kaubishi kapo hapa kijiweni kwetu kuhusu efficiency ya haya magari especially mabasi. Ubishi ume-base sana kwenye
1) speed ya mabasi, wengi wanaSema yutong ni funiko kuliko scania na ud.
2) ubovu- wamerate kuwa ubovu mchina anaongoza na relate kipindi yalipoingia Yalilaza watu njian nikiwemo na mimi. Ud wanatolea mfano sumry anavoPotea kwenye ushindan.
3)oil consumption. Mchina consumption yake iko chini kuliko wote. je ni kweli
NaOmba wadau na wajuzi wanisaisidie kwasabab nahitaJi kujua ubora wa haya Magar na hata wadau wengine ambao wanaweza kutaKa kuinvest kwenye biashaRa ya magari itawasaidia
 
Nijibu kwenye speed,

Ni kweli Yutong ni mepesi sababu ukiacha bodi la nje, ndani ni plastic tu hivyo kuyafanya yawe mepesi. Hii ni hulka ya xinhua products kwani hata simu zao si waziona ni kubwa but nyepesi??!!

Ila usichanganye na ile topic yetu ya speed, zile factors zinabaki palepale kua at 120Kms/hr, yote yatakua Na kasi sawa.
 
Yutong is like a biscut...Gari ni Scania...try Scania buses with genset engine.....fuel efficient is superb..
 
  • Thanks
Reactions: SDG
wadau kuna kaubishi kapo hapa kijiweni kwetu kuhusu efficiency ya haya magari especially mabasi. Ubishi ume-base sana kwenye
1) speed ya mabasi, wengi wanaSema yutong ni funiko kuliko scania na ud.
2) ubovu- wamerate kuwa ubovu mchina anaongoza na relate kipindi yalipoingia Yalilaza watu njian nikiwemo na mimi. Ud wanatolea mfano sumry anavoPotea kwenye ushindan.
3)oil consumption. Mchina consumption yake iko chini kuliko wote. je ni kweli
NaOmba wadau na wajuzi wanisaisidie kwasabab nahitaJi kujua ubora wa haya Magar na hata wadau wengine ambao wanaweza kutaKa kuinvest kwenye biashaRa ya magari itawasaidia

Katika hayo magari kila kitu bora kipo Scania, ila jamaa zako hata akili zao zishakuwa za kichina.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Sikia...hapa..Scania ni madhubuti...kuanzia injini,Mbio,Stability nk,Yutong yapo luxury speed yakawaida hayafikii scania,Umadhubuti wake una duration time,ni miezi 6 ya mwanzo,Mafuta kidogo yapo economical,Zaidi wanakuja kasi kwenye tasnia ya mabasi ya usafirishaji kwa kipindi cha miaka mitano ijayo Scania itambidi ajipange...Yutong bei yake iko chini kuliko scania.Kifupi...chungulia hapa!
scania_oghab_bus.jpg

20100612104752993.jpg

You can see the difference!!
 
Scania zinakuwa nzito sana hasa kwenye kupandisha milima/milimani....lakini kwenye flat road...dah usipime!! Yutong ni laini mno na zinapepea kama karatasi, it is good by then!!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Scania zinakuwa nzito sana hasa kwenye kupandisha milima/milimani....lakini kwenye flat road...dah usipime!! Yutong ni laini mno na zinapepea kama karatasi, it is good by then!!
Mkuu Sizinga hakuna kitu Yutong inakimbia kwenye tambarale tu kwenye mlima sufuri mkuu ila scania kwenye mlima ni noma maana inafunguka turbo achana nayo!!
 
Last edited by a moderator:
sijabahatika kukutana na yutong iliyochoka ilivyo. Kuna mdau alinambia kuwa bodi huwa ni za kichina ila engine zipo za daf na yutong ni upenz wako, hii imekaaje?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Wandugu yutng engine zake ni madhubuti asikudanganye mtu. ni za kimarekani toka magari ya MAN. MBIO NDO NYUMBANI KWAKE HAKUNA CHA MARCOPOLO WALA UD.
 
Mkuu Sizinga hakuna kitu Yutong inakimbia kwenye tambarale tu kwenye mlima sufuri mkuu ila scania kwenye mlima ni noma maana inafunguka turbo achana nayo!!

Safari nyingi ninazofanya huwa scania tunaziachaga sana tukiwa tunapandisha milima, hapo nipo ndani ya yutong!!! Otherwise hizo scania ziwe zimefungwa injini ya FUSO
 
Wandugu yutng engine zake ni madhubuti asikudanganye mtu. ni za kimarekani toka magari ya MAN. MBIO NDO NYUMBANI KWAKE HAKUNA CHA MARCOPOLO WALA UD.
Acha maneno yakusikia!!bila kuwa na uhakika ni nani alikwambia Man ni brand ya marekani ??unatokwa povu tu,Mbio kakwambia nani msisema vitu bila ya kuwa na statics!
 
kama unataka kujua yutong inakimbia kuliko scania panda haya mabus ya greenstar dar-mwanza route,utapata jawabu,inshort yutong zinatembea mkuu,dont try kushindanisha scania na yutong
 
Wandugu yutng engine zake ni madhubuti asikudanganye mtu. ni za kimarekani toka magari ya MAN. MBIO NDO NYUMBANI KWAKE HAKUNA CHA MARCOPOLO WALA UD.

a word,nissan ud tupa kule,labda scania 124 L anaweza kuleta upinzani kdg kwa yutong
 
Kitu scania marcopolo usiseme ila kwa zile sumry kama ni ud nimenyanyua mikono maana zinatembea balaa
 
Kwa uimara Scania inaonoza kwa mbali kuliko Yutong, Zipo bus za 1990 zinatembea bila tatizo. mchina hadumu barabarani, nadhani mnakumbuka zila bus zenye rangi ya bendera ya Marekani zimekaa barabarani miaka 3 na sasa hazipo. Pia zile buffalo za kichina zilifanya kazi kwa miaka 2 zikafa. Scania ni moto, usipime.
 
Yutong hakuna kitu, likifika kwenye speed ya 105 bus linayumba, halitulii barabarani wakati Scania hata likiwa kwenye speed ya 120 bado bus linakuwa limetulia barabarani.
 
scania nimwisho wa mabo yote. Mchina ni rahisi na garama za rahisi ni kubwa
sana. Yuton life span yake ni ndogo sana na sinachoka vibaya mno kiasi kwamba hata ukalireservice litaanza kumomonyoka. nadhani kuna wataalamu wa magari weweza kukupa Standand error za haya makampuni, na utakuta ya mchina ni kubwa sana.
 
Back
Top Bottom