Tetesi: Yusuph Manji ndiye Meya wa Jiji la Dar ajaye

Status
Not open for further replies.
Bora huyu....anaona mbali...ni mfanya biashara atalivusha jiji , sio kina silaaa wamegaina tenda za kuzoa taka, mashimo matupu, foleni na uchafu
Huyu ataweza naamini.ila tuondoe ubaguzi...nina uhakika tutaona difference
 
Tumpe na ikulu maana anaona adi mbingu ndoooooorobo wewe
 
binafsi napinga sana huu utaratibu wa kuwaendekeza hao wahindi kwenye siasa eti kisa tu wana hela. hayo ya wabunge wa morogoro na sehemu zingine imetosha.
 
Angalia na singida mjin. Shida bin Matatizo matupu. Wabaki kwenye biashara zao
 
Bora huyu....anaona mbali...ni mfanya biashara atalivusha jiji , sio kina silaaa wamegaina tenda za kuzoa taka, mashimo matupu, foleni na uchafu
Huyu ataweza naamini.ila tuondoe ubaguzi...nina uhakika tutaona difference

kwel usilo lijua sawa na usiku wa giza.
 
Meya wa sasa wa dar ni mwajiriwa wa tra na analipwa mshahara wa utumishi wake, kwa nini serikali haimfukuzi kazi?
 
Naomba nieleweshwe, hivi na Meya wa jiji lazima awe diwani?

Didas Masaburi ni diwani wa kata gani vilee?
Mkuu yes, kuwa meya wa jiji ni lazima kwanza uwe diwani, tena sio kuwa diwani ili mradi tuu ni diwani, lazima uwe diwani wa kuchaguliwa na sio viti maalum!. Masaburi ni diwani wa Kata ya Kivukoni, ambapo mtaa wa Magogoni ni moja ya mitaa yake!.

Kwa kukusaidia tuu, hata kuwa waziri ni lazima kuwa mbunge, ila kuwa Waziri Mkuu, ni lazima uwe mbunge wa kuchaguliwa kutoka majimboni!.

Kiukweli sisi Watanzania ni ignorants mpaka basi, kuna vitu simple mtu alipaswa kuvijua, hatujui!, kuna maswali simple tuu unapata jibu uki google, lakini watu wanauliza!, sitashangaa mtu akiuliza humu eti Kikwete ni rais wa wapi vile?!.

Ndio maana watu wanashinda wana lia lia tuu, kulalamika na kunung'unika, kujiandikisha kupiga kura, hawajiandikishi na wakujiandikisha, hawapigi kura!.

Pasco
 
Elimu nzuri umetoa ila mbona hasira sana mkuu??!
 
alafu mtu kama uyo habari za diamond na wema sepetu anazijua zote
 
HILI NIMEKUWA NIKILISEMA SANA najua hata huu uzi hautadumu Mods watauondoa na mara nyingi nikisema Kuhusu Manji Threads zangu Mods wanaziondoa au wanazi movisha kusikojulikana. Nliwaambia Manji anaitumia Yanga kisiasa ili aje agombee nafasi moja kubwa hapo baadaye. Weng wananibishia na mods hili huwa nadhan hawapend kulisoma. sijui jamaa anawezaje kudhibiti habari asizozipenda zisitoke. Manji atakagombea Udiwani, atashinda. then atakuja kugombea UMEYA WA JIJI LA DAR. ATASHINDA PIA. HIVYO Mjue YUSUFU MANJI ni Meya Mpya wa Jiji la Dar Mwaka Huu.

Baada ya kusoma user name yako nimegundua sio kosa lako kuwaza hivyo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom