Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,914
- 10,276
Manji hakuchaguliwa Yanga kupaka rangi jengo,alichaguliwa kuifanya Yanga ifanye vizuri uwanjaniAkili za CCM hizi....YANGA mpaka sasa iko mikononi mwake hata jengo kashindwa kubadilisha Rangi ..then mnategemea Maendeleo tatizo la huko Mbagala watu walifikiria PILAU na KOFIA...nani kakwambia Kiongozi ataleta maendeleo Nyumbani watu wanataka Uongozi Bora sio huo upuuzi wakupeleka sijui maturubai na upuuzi mwingine unaofanana nahuo then watu wanashangilia kweli watz ni Ajabu la 8 la Dunia
Nadhani una habari kuwa Yanga imechukua ubingwa wa VPL msimu wa pili mfululizo na wako kwenye nafasi ya kuingia kwenye makundi ya kombe la shirikisho la vilabu barani Afrika