meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,828
Nipeni tenda niwaletee canter iliyojaa bakora aka fimbo makao makuu ya kilabu chenu.
Thubutu mtakula majani.Mtapiga magoti sana na mkija uwanjani mnapakatwa.
ni akili za kichina kudhani ubora wa yanga ni kuifunga simba and vice versa. kama team ibaongoza league unataka nn zaid ya hilo
Utamu wa ubingwa ni kumfunga mtani wako.
REF: Vodacom Premier League ya 2012.
simba ina misimu mingapi haijacheza mechi za caf kuifunga yanga imewasaidia nn zaid ya sifa za hapa hapa nyumbani
kwa tanzania hata yanga ichukue ubingwa utakua hauna heshima nj sawa na kulea mtoto nwa kusingiziwaView attachment 233087
wanatambua kama mnaongoza league hao. Ila cjui inakuwaje mpk yanawakuta hayo baada ya dhoruba toka kwa mnyama.