Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,209
- 4,706
Wataanza kurudi kuja kufanya biashara zao kwani wameishaona kuna uchochoro umefunguka!!! Tusijidanganye na hawa wakina Manji kuwa wana uzalendo hasa hawa jamaa zetu wahindi; akili yao yote iko kwenye kutengeneza faida halafu kuwekeza nje !!! Ili kupata faida kubwa wanakwepa kodi!!!! Tusiwachekee sana hawa mwisho nchi itakujavuna mabua!!! Hakuna mfanyabiashara anaependa kulipa kodi!!!
Pabaya wapi, Wengi wa Watanzania walishazoea Kula chakula cha kutupiwa kama mbwa, na wanaowatupia chakula hicho ndio hao mnaowatetea leo!!Duh 🙄 Bwana yule alitufikisha pabaya
HALELUJAAAAHMama ameonyesha matumaini, na anapendwa na wengi
Wataanza kurudi kuja kufanya biashara zao kwani wameishaona kuna uchochoro umefunguka!!! Tusijidanganye na hawa wakina Manji kuwa wana uzalendo hasa hawa jamaa zetu wahindi; akili yao yote iko kwenye kutengeneza faida halafu kuwekeza nje !!! Ili kupata faida kubwa wanakwepa kodi!!!! Tusiwachekee sana hawa mwisho nchi itakujavuna mabua!!! Hakuna mfanyabiashara anaependa kulipa kodi!!!
Yule alikuwa zaidi ya SHETANI.Duh 🙄 Bwana yule alitufikisha pabaya
Alikuwa wapi
Wataanza kurudi kuja kufanya biashara zao kwani wameishaona kuna uchochoro umefunguka!!! Tusijidanganye na hawa wakina Manji kuwa wana uzalendo hasa hawa jamaa zetu wahindi; akili yao yote iko kwenye kutengeneza faida halafu kuwekeza nje !!! Ili kupata faida kubwa wanakwepa kodi!!!! Tusiwachekee sana hawa mwisho nchi itakujavuna mabua!!! Hakuna mfanyabiashara anaependa kulipa kodi!!!
Jambo lolote likofanywa na waziri, maana yake linabaraka za Rais,