Yusuf Manji akamatwa kutokana na malimbikizo ya kodi Tsh 300 milioni, ofisi zake zafungwa

Usijikute una undugu wa karibu na manji unajipa pressure tu buure.... acha watu wanyooshe km anaonewe si aseme kwamba nimelipa kodi wananisingizia....... sa hapo tatizo nin..

Sie wabongo kulalama ndio zetu .... yuule jamaa ni wa chama chake kazingua nnje ya chama na ni tajiri ila anaoneshwa sheria inavyofanya kazi... we unalalamika unasema kwan yuko peke ake....

Kwa iyo aachwe tu kwa kuwa wapo wengi.....

Mwendo ni uo... hivi angekuwa na bifu na mshua si angekua ananyea debe now.

Kakutwa na sare za jeshi huu ni uhaini.
Kakutwa na matumiz ya madawa.
Kuhujumu uchumi n.k

Zoote kachezewa fair afu bado unasema anaonewa.... ngoja ale mvua sasa... najua we ni ukawa unapinga kila kitu tu....
Anaonewa....
 
Naona kama anawafanyia maksudi tu sidhani kama anashindwa kuwalipa
 
Usijikute una undugu wa karibu na manji unajipa pressure tu buure.... acha watu wanyooshe km anaonewe si aseme kwamba nimelipa kodi wananisingizia....... sa hapo tatizo nin..

Sie wabongo kulalama ndio zetu .... yuule jamaa ni wa chama chake kazingua nnje ya chama na ni tajiri ila anaoneshwa sheria inavyofanya kazi... we unalalamika unasema kwan yuko peke ake....

Kwa iyo aachwe tu kwa kuwa wapo wengi.....

Mwendo ni uo... hivi angekuwa na bifu na mshua si angekua ananyea debe now.

Kakutwa na sare za jeshi huu ni uhaini.
Kakutwa na matumiz ya madawa.
Kuhujumu uchumi n.k

Zoote kachezewa fair afu bado unasema anaonewa.... ngoja ale mvua sasa... najua we ni ukawa unapinga kila kitu tu....
Mkuu La VISTA huwa napenda sana points zako tatizo viraza ni wengi humu ndani, utakuta mtu kashapiga mataputapu yake anakuja na majibu ya kushangaza sana. lakini ni ngumu kama kwa Nchi hii kumove mbele sababu kuna watu humu wanatetea upuuzi lakini yuko choka mbaya sana hapo hapo ana piga kelele hospital hakuna madawa, barabara zimealibika, wanafunzi wanakaa nchini lakini wako mstari wa mbele kutetea wakwepa kodi . Sasa mtu kama huyo utamweka group gani ?
 
Braza... watanzania tunapenda kupinga saaaana bila hoja...

Ilimrad tupinge tu dadek.... udini... siasa, utimu na uelewa mdogo ndio tatizo la ili jambo....

Hivi kweli manji amaweza bishana na gvrnmnt mzee.....

Alikua analelewa now ananyooshewa tu hakuna namna... afate utafatibu tu.
 
Kampuni ya Udalali ya Yono (Yono Auction Mart) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Tawi la Temeke leo Oktoba 27 wamemkamata mfanyabiashara Yusuf Manji kutokana na kutolipa malimbikizo ya kodi anayodaiwa zaidi ya Tsh 300 milioni.

Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Yono, Scolastica Kivera alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, ambapo amesema kwamba mbali na kumkamata Manji, pia wamefunga nyumba ya kuhifadhia mali (godown) pamoja na Ofisi yake iliyopo kando ya barabara ya Nyerere ili alipe kodi anayodaiwa na Serikali.

Yono ambao ni wakala wa ukusanyaji wa madeni ya Serikali kupitia TRA, wamesema kwamba wanamshauri Manji alipe deni analodaiwa ili waweze kufungua majengo yake wanayoyashikilia kwani kinyume na hapo watapiga mnada mali zilizopo ndani ya majengo kwa idhini ya TRA ili waweze kufidia deni hilo.

Kivera ameeleza kwamba, hatua ya wao kushikilia mali hizo ni kumtaka Manji alipe deni analodaiwa.

Hapa ngumu ku-comment
 
Kwani hizo pesa kazipatia wapi ? si humu humu nchini, acha kutuletea utumbo wa kitimoto humu ndani
wewe acha kushabikia siasa unafadika nini, hata kama kazipatia humu kwaio ndo iwe tiketi ya kumnyanyasa ili "awakatie" kidogo pesa zake ? Ameajiri watu wangapi? Kwa akili zako unaona Manji ni mtu wa kukosa milioni 300?kama sio siasa ni nini? eti madalali wanashika watu siku hizi wamekua polisi ! Sasa mnataka afilisike kabisa atembelee malapa ndo iwe furaha yenu mana mnachukia kuona matajiri mana ndo akili zenu za kimasikini..
 
Usijikute una undugu wa karibu na manji unajipa pressure tu buure.... acha watu wanyooshe km anaonewe si aseme kwamba nimelipa kodi wananisingizia....... sa hapo tatizo nin..

Sie wabongo kulalama ndio zetu .... yuule jamaa ni wa chama chake kazingua nnje ya chama na ni tajiri ila anaoneshwa sheria inavyofanya kazi... we unalalamika unasema kwan yuko peke ake....

Kwa iyo aachwe tu kwa kuwa wapo wengi.....

Mwendo ni uo... hivi angekuwa na bifu na mshua si angekua ananyea debe now.

Kakutwa na sare za jeshi huu ni uhaini.
Kakutwa na matumiz ya madawa.
Kuhujumu uchumi n.k

Zoote kachezewa fair afu bado unasema anaonewa.... ngoja ale mvua sasa... najua we ni ukawa unapinga kila kitu tu....
Kwahiyo kuna kufanyiana fair kwenye ishu za msingi?
 
Huyu si tumeambiwa kafanya press conference kutangaza ananunua NAKUMAT? Kumbe anadaiwa kodi? Sasa makeke ya kujitangaza na press conference ya nini? Bonge la ignorant.
 
Hakutakiwa kulipa kodi?

Mazoea yana tabu. Hao wahindi lengo lao kuingia katika siasa ni kukwepa kodi hawasomi alama za nyakati kwamba kiongozi wa sasa haangalii sura
Anaangalia sana kila mtu na mtu wake kwa Bashite kiongozi pale hajiwezi
 
Back
Top Bottom