Yusuf Manji akamatwa kutokana na malimbikizo ya kodi Tsh 300 milioni, ofisi zake zafungwa

Hivi anayedaiwa nchi hii ni Manji pekee? Tshs 300 milioni? Maana huu ni unyanyasaji wa kishamba na wakijinga kabisa!

What a shame!
Usijikute una undugu wa karibu na manji unajipa pressure tu buure.... acha watu wanyooshe km anaonewe si aseme kwamba nimelipa kodi wananisingizia....... sa hapo tatizo nin..


Sie wabongo kulalama ndio zetu .... yuule jamaa ni wa chama chake kazingua nnje ya chama na ni tajiri ila anaoneshwa sheria inavyofanya kazi... we unalalamika unasema kwan yuko peke ake....

Kwa iyo aachwe tu kwa kuwa wapo wengi.....

Mwendo ni uo... hivi angekuwa na bifu na mshua si angekua ananyea debe now.

Kakutwa na sare za jeshi huu ni uhaini.
Kakutwa na matumiz ya madawa.
Kuhujumu uchumi n.k


Zoote kachezewa fair afu bado unasema anaonewa.... ngoja ale mvua sasa... najua we ni ukawa unapinga kila kitu tu....
 
Siyo dola milion 300, ni shilingi za kitanzania milioni 300? maana siku hizi tumezoea dola dola hivi kwenye madai.
 
milioni 300? Manji akamatwe kisa milioni 300 wakati ameishawahi kutoa milioni 400 watu waingie free uwanja wa taifa....
Zike zilikuwa ni faida ya sembe lkn hizi mmmmh faida yake ni tin namba siomchezo
 
Hawa yono siwapendi mm wanajifanya nao kama tra vile kwenye hakuna sifa tu
 
Rostam Aziz aliona mbali. Uchwara uchwara ulipoanza kunukia kasepa. Huyu naye akianzishe tu ,vinginevyo ataanza kuokota makopo soon.Jamaa si kasema "wataishi kama shetani???!!!
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom