Siyo Musoma kweli hii. Jana nilikuwa Ofisi za Manispaa nikakuta kuku aliyebakwa kaletwa ili bwana mifugo athibitishe. Watu waliomchungulia wanadai kuku alikuwa kaharibiwa vibaya na mhutumiwa ni baba mwenye mke na watoto.
What a shame! Kuku anabakwa, watoto wataachwa?