Yussuf Manji, Omba Toba

Hakuna anaeomba mabaya isipokuwa Mwenyezi Mungu kaahidi, anayedhulumu huzidishiwa hasara.

Manji hakuombewa mabaya, Manji kashtakiwa kwa Mwenyezi Mungu.

Na sasa tunamkumbusha aombe toba.
Huo ni uongo Manji hakudhulumu BAKWATA ndiyo waliowadhulumu. Hata hivyo yampatayo Manji yengempata tu awe ameshitakiwa kwa Mungu au hajashitakiwa as long as haonewi
 
Huo ni uongo Manji hakudhulumu BAKWATA ndiyo waliowadhulumu. Hata hivyo yampatayo Manji yengempata tu awe ameshitakiwa kwa Mungu au hajashitakiwa as long as haonewi


Taarifa hii imfikie yeyote anayehusika.
 
Mimi nilijifundisha kung fu hapo YWCA Dar 70s.

Wanaojilipua na kufanya vitendo vya kigaidi ni hatari zaidi ya Manji.Waombeeni hao nao wapate Mikosi na mabalaa ili wapotee kwenye uso wa dunia ya wastaarabu.
 
Faiza elewa Manj sio wa kulaumiwa asilimia 100. Bakwata na hao masheikh ndio wa kulaumiwa kwani Mali nyingi za waislam inayosimamiwa na bakwata zimeuzwa kinyemela.
Manji alitakiwa ajitambue na sio jeuri ya Pesa kwa waislamu wenzake.. Hivi leo watu wachache kama ilivyotokea kwa Bakwata watangaze kuuza mali yoyote ya wakfu, wewe kama unajitambua unaweza kununua kweli.? Ilhali unajua kuwa mali ikitolewa kwa ajili ya Umma au Wakfu ni haramu mtu kununua. Manji aliangalia faida zaidi ya mali kuliko hasara kwa waislamu kupoteza mali zao

Acha yampate yenye kumpata, kwangu sina uwezo wa kumsamehe ila mungu aliyemuumba ndo anajua zaidi waja wake
 
Wanaojilipua na kufanya vitendo vya kigaidi ni hatari zaidi ya Manji.Waombeeni hao nao wapate Mikosi na mabalaa ili wapotee kwenye uso wa dunia ya wastaarabu.


Tunaomba usiku na mchana na waeshaanza kumalizana wenyewe kwa wenyewe.
 

Matajiri huwa wako busy sana kutafuta sidhani kama anaweza soma au kutekeleza Barua yako, achilia mbali kuingia hapa jamii forums .. wao wana Focus sana ndo character yao kubwa na ndo imewafikisha hapo walipo
 
Ujumbe mzuri na si kwa Manji tu na kwa waislam wote wasiojielewa, na wako wengi mali na vyeo vianawadanganya thank you sister.
 
Wanajukwaa kuna wengi hua mnasoma tu kwa Mzee Mohamed Said story za kariakoo na jinsi vijana wa mzizima walivyokua mnasahau wakazi wa mzizima miaka ile kufika bara tu ilikua ni kosa la jinai , zaidi watu wa bara kufika mjini na kujitutumua hasa wale viongozi na vijakazi hadi kuambiwa utalijua jiji , nasema haya kwa baadhi yenu kutoijua nchi na hiyo Dar mmefika kusoma chuo tu mjitahidi sana kua na adabu kwa watu kama akina Faiza Foxy.
 
Wakati ukiwaza kutoka bariadi, kasulu, mbinga, ndungu, moshi, karagwe ufike Dar kutafuta maisha vijana wa mzizima walitahayari kuiacha mnazi mmoja na jiji kwenda bondeni au mamtoni kusaka maisha iwe kwa kuzamia au kihalali , jukwaa lisitufanye tudhihaki watu,
 
Kibri ya akina Manji sio ya jana wala juzi ni ya muda mrefu sana na alidharau taasisi za kiislaam na kuuvuruga uislam kwa kadri alivotaka yeye na hakusikia wala kuambiwa zaidi ya kuwasikiliza maimam na masheikh walokunywa nae kahawa. Sasa afuate ushauri na Kwa kua Mwenyezi Mungu Mwingi Wa Rehma ni Mwenye huruma pia atamsaidia na kumwondolea mzigo alionao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…