Yussuf Manji, Omba Toba

Samehe saba Mara sabini elfu. Badala ya kumsamehe wao wanamsomea albadir. I guess Manji siyo muislam ila ni hinduism


Manji siyo Hindu.

Mwenyeezi Mungu anasameh itakuwa sisi?
 
Kwelii umenikumbushaaa huyu Bila tobaa ya dhatii tutasikiaa mengii
 
Hakuna binadamu mwenye uwezo wa kumuombea mabaya binadamu mwigine.
 
modi huu udini dakika 45 zote upo hapa mmefumba macho?
 
Hakuna binadamu mwenye uwezo wa kumuombea mabaya binadamu mwigine.


Hakuna anaeomba mabaya isipokuwa Mwenyezi Mungu kaahidi, anayedhulumu huzidishiwa hasara.

Manji hakuombewa mabaya, Manji kashtakiwa kwa Mwenyezi Mungu.

Na sasa tunamkumbusha aombe toba.
 
IVI KILE CHUO CHENU PALE MORO YALE MAJENGO NI YA NANI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…