Yussuf Manji: Kingunge ni mnafiki, alilikata jina lake uchaguzi 2005!

Huko kwenye siasa Manji asidhani ni Yanga kwa kina Jerry Muro atawekwa uchi ajute malumbano
 

lowasa jee slifanyeje kipindi cha kutafuta wadhamini na mda huu!!!!!! tumia kichwa kufikili na sio matako yako.
 
Wito kwa wakazi wenzangu wa Dar, tuwapigie kura kwa wingi wagombea wa UKAWA washinde, huyu shetani Manji target yake ni kurithi nafasi ya Masaburi kuwa meya wa Jiji letu, tukifanya mzaha madiwani wa ccm wakawa wengi atawanunuwa wote na na Umeya utakuwa ni wake, asiyezijuwa hesabu za manji ndio hizo.
 
Kwenye hayo maelezo yako, there is NO connection (be it clear OR blind) kati ya namna alivyokatwa yeye na alivyokatwa Lowassa.... Na unafiki wake anasema amegombea udiwani kwa vile kwake tatizo si cheo, bali maendeleo, kumbe alikatwa kwenye Ubunge..
Mkuu sioni kwa nini unachanganyikiwa na huoni the basic underlying principle hapa.
Pamoja na kuwepo na katiba kukata jina la mgombea ni pamoja na kuondoa mgombea ambaye kisiasa hakunaliki au ana marstizo.

Sasa hapa kama Kingunge ali set precedence kwa Manji inllibidi atanywe msji hayo kwa kukatwa Lowassa.

Unafiki ni kutumia mbinu za kukata mtu au mgombea mmoja halafu kwa Lowassa Zkingunge analia lia.

Wale aliowakata sasa wanakuja juu na kueleza unafiki wa Kingunge.
 
huyo mzee kingunge ni mnafiki kweli kabisa. afu anasema haende kwenye chama chochote na hali yupo na lowassa muda wote. na wanafiki wote huwa wanafeli
 
Hivi kwa nini watu hawajiliuzi kwa nini Manji anagombea Udiwani, ni kweli anataka kuwatumikia wananchi wa Mbagala Kuu katika wadhifa huo au kuna ziada ?
nimejiuliza sana hilo swali-huyu manji kuna kitu stepping stone to something-ndio maana nasema magufuli ni chaguo la mafisadi na Lowassa ni chaguo la mungu
 
Manji manji manji huyu ni sumu kari sana kwenye uchumi wa nchi yetu hatufaiiiii waswahili tusiuze utaifa wetu kwa choli tena baba;mama yake Kalizika Canada huyu siyo mtz bana apotee
 
Ndugu manji angeelezea utaratibu ulivyokuwa hadi kupelekea yeye kukatwa angeeleweka vzr. Ulinganisho huo alioutoa hauingii akilini kabisa.
 
Hivi huyu maji kakosa nafasi zote za kugombea mpaka
kaamua kuangukia kwenye udiwani...yaani akishindwa huu udiwani
ujue ataibukia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ...
 
Last edited by a moderator:

Mgombea Urais wa Kingunge na Manji yupi kahonga sana fedha kuwania Uongozi?
 
Kwasababu Lowassa ana umri mkubwa...!! Kumbuka Kikwete enzi za Nyerere. Tena kama ni kweli Manji kasema mambo hayo ni bora akaamua kukaa kimya kwani anaweza kuanzisha mjadala mwingine ambao unaweza kutikisa hii nchi.

Hakuna Mjadala wa kutikisa Nchi acha Mikwala ya kigwajima, Mtu kakatwa Dodoma na atakatwa tena siku ya kutangaza Matokeo Ijumaa October 30 kwenye Makao makuu ya Tume ya Uchaguzi
 
Ndugu manji angeelezea utaratibu ulivyokuwa hadi kupelekea yeye kukatwa angeeleweka vzr. Ulinganisho huo alioutoa hauingii akilini kabisa.

Wewe ngoja tumwite Mzee Kingunge aje kwenye Kampeni ya UKAWA hapo Mbagala Manji na pesa zake atalia kama alivyolia 2005 watu walitafuna pesa na jina likakatwa!

Kwa sasa watu pesa wanatafuna na kura hawakupi!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…