Yupo wapi Wangari Maathai?

Kamtangaze redio one kuwa unamtafuta au peleka picha ITV wamtangaze kwenye taarifa ya jion jiji letu itakusaidia kumpata
 
Yaaani mpk sasa mtoa mada hajapewa jibu!
 
Stori yake iliyosababisha 'aikimbie' ID yake naijua lakini nimeisahau

Kinachoniacha hoi ni hii mada iko jukwaa la celebrities [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Alikuwa mpambanaji mzuri sana yule dada labda atakuwa bize na kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ