Yupo wapi Wangari Maathai?

Yupo wapi Wangari Maathai?

Bususwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
468
Reaction score
1,117
Wapendwa

Nimetokea kushindwa kuelewa,huyu dada yuko wapi siku hizi, anatumia ID gani,naomba kujua yuko wapi anafanya mishe zipi

Mara ya mwisho kuwasiliana naye hapa JF was mwaka jana,hayuko active kabisa kama zamani, Wangari Maathai popote ulipo ur missed mama
 
Back
Top Bottom