Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,265
- 10,247
Mmm, ndo awe silence nowSilence is a best answer
Wazarendo gani hao waliokuwa wanateka, ua, filisiDau la Mnyonge haliendi Joshi, inasikitisha sana Wazalendo kudhihakiwa wakati walilitumikia Taifa kwa Uadilifu.
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Mbona alikuwa anapika kerere kipindi Cha JiweProfessor huwa hapigi kelele
Unaongelea Kabudi yule aliyekunywa ile dawa toka Madagascar?? yule si kapanda cheo yupo Ikulu na Mama anasimamia Mawaziri yeye na Lukuvi eti..,Huyu bwana Palamaganda Aidan Kabudi alitamba Sana enzi za JPM, aliteuliwa kuongoza majadiliano na Barrick Gold, na alijitahidi kwa kiasi chake. Badae akawa waziri wa Sheria na Katiba na finally akawa Waziri wa Mambo ya nje.
Alijisifu Sana alivyokuwa waziri wa mambo ya nje, lakini wabobezi wanasema alihusika kwa kiasi kikubwa kuharibu diplomasia ya Tanzania. Now hana cheo chochote, na amepotea ata Bungeni hasikiki, haulizi maswali, ATA swali la nyongeza haulizi.
Yupo wapi huyu bwana
Profesa aliondolewa cheo na Rais mwenye Masters ya open universiry.Katiba ya Tanzania inafurahisha sana.Professor huwa hapigi kelele
Wakati wake ushapita.!Mmm, ndo awe silence now
Hahaaa,Atakuwa majalalani alikookotwa na yule mwendawazimu
Huyu anastahili kudhihakiwa! Ni msomi mzuri, lakini alikuwa hatumii taaluma yake kama Mahiga (R.I.P) kwenye kufanya kazi zake, bali kutumia mawazo na miongozo ya aliyemteua!Dau la Mnyonge haliendi Joshi, inasikitisha sana Wazalendo kudhihakiwa wakati walilitumikia Taifa kwa Uadilifu.
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Unaweza ukatutajia watu walioteswa au kuuawa na Prof. Kabudi?Wazarendo gani hao waliokuwa wanateka, ua, filisi