connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,840
- 3,908
Huyo jamaa ni mtendaji mzuri sana.Huyu mwamba alikua hanaga kifua,
1. Aliwaponda wawekezaji wazawa kuwa hawana mitaji ya kuwekeza kwenye gesi zaidi ya Biashara za juice na sasa energy drinks.
2. Alitaka kutaja hadharan matokeo ya kidato cha 4 ya Mbunge Christopher Ole Sendeka [bila Spika MAKINDA kuingilia Leo hii yangekua mtandaoni].
Hongera Prof kwa kuwa muwazi
Aisee jamaa nomaAliwachana ukweli matajili wa kibongo wa biashara za maandazi, drinking water nk