Yupo wapi Nabii Tumainiel wa JF?

Yupo wapi Nabii Tumainiel wa JF?

Burkinabe

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2023
Posts
2,752
Reaction score
4,800
Wakuu najua hamko salama kutokana na madhila yanayoendelea kutuandama kama Taifa.

Kama mwanachama wa JF, kuna "members" wengi ambao kwa kweli huwa ninawakubali sana kutokana na upeo wao mkubwa wa kuona mbali, akiwemo TumainiEl .

Ukifuatilia michango yake mingi, na mabandiko yake, unaweza kukubaliana na mimi kuwa huyu mtu ni Nabii (kama huendeshwi na miemko ya kidini).

Sasa wasiwasi wangu, amekuwa kimya sana licha ya haya aliyoyatabiri kutimia kwa kiasi kikubwa.

Je, na yeye atakuwa ameangukia kwenye mikono ya wasiojulikana kama kina Soka, Mdude na Polepole?
 
JF ina functionality inayoitwa "Last seen", sijui kama unaijua?

Itakupunguzia kuuliza maswali ya namna hii...

Screenshot_20251128_102407.jpg
 
Wakuu najua hamko salama kutokana na madhila yanayoendelea kutuandama kama Taifa.

Kama mwanachama wa JF, kuna "members" wengi ambao kwa kweli huwa ninawakubali sana kutokana na upeo wao mkubwa wa kuona mbali, akiwemo TumainiEl .

Ukifuatilia michango yake mingi, na mabandiko yake, unaweza kukubaliana na mimi kuwa huyu mtu ni Nabii (kama huendeshwi na miemko ya kidini).

Sasa wasiwasi wangu, amekuwa kimya sana licha ya haya aliyoyatabiri kutimia kwa kiasi kikubwa.

Je, na yeye atakuwa ameangukia kwenye mikono ya wasiojulikana kama kina Soka, Mdude na Polepole?
Sasa hivi anatumia id October 2pm (redcross)
 
Back
Top Bottom