Yupo wapi mwimbaji wa nyimbo za Injili Beatrice Muhone?

Sio kweli ulisemalo, mtu asiye na kipaji hawezi kufanya nyimbo kama 'Habari njema' na 'Ni Siku' hata kwa miujiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli ulisemalo, mtu asiye na kipaji hawezi kufanya nyimbo kama 'Habari njema' na 'Ni Siku' hata kwa miujiza

Sent using Jamii Forums mobile app

hahaaa ! duh ! mbn ziko flat sana hizo nyimbo mkuu ! bas wewe huelewi maana ya uimbaj ! nimeishi sana na watu wanaoimba acapela wamenifundisha vit vingi sana sana na jinsi ya kuimba !mwangalie beatrice anavyoimba mishipa na upumuaj wake utanielewa ! bahat nzuri najua kuimba ! note!
 
Tetesi nilizonazo mimi ni kuwa Bite alivyoanza kupata umaarufu baada ya kutoa album yake ya kwanza, alikuwa anatoka na mtu mkubwa sana hapa bongo, baada ya kuanza kutoka na muheshimiwa huyo, bite akaanza nyodo na madharau, dharau zikafika mpaka home akasahau kama yeye ni mke wa mtu, ndoa yake ikaingia kwenye gogoro kubwa sana, lkn ana mume mpole na mvumilivu sana coz anajua alipotoka na Bite
 
Na ukweli katika hili
 
Mwe bite kutoka mwaya ya tumaini st James arusha ameimba nyimbo nyingi saana ila inaonekana kaacha kuumba kwaya
 
Nilikuwa nasikiliza wimbo wa Bwana Yesu uko wapi wa huyu dada nikakumbuka enzi hizo 2009-2010 nikiwa bado mwanafunzi wa mwaka wa kwanza boom limekata namkumbuka Bwana
 
Nilikuwa nasikiliza wimbo wa Bwana Yesu uko wapi wa huyu dada nikakumbuka enzi hizo 2009-2010 nikiwa bado mwanafunzi wa mwaka wa kwanza boom limekata namkumbuka Bwana
Aisee, matatizo yatujongelesha karibu na Bwana
 
Umeongea kwa ustaarabu sana bila kumsema mtu. Nadhani utakua mwimbaji wa Tumaini Shangilieni St. James Kaloleni Anglican Church Arusha alikotokea mtajwa kwenye mada
 
Picha tafadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…