Yupo wapi mwanamama Advera Senso/Bulimba?

Msambwata

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2017
Posts
1,307
Reaction score
1,500
Wakuu,

Poleni na majukumu na Heri ya 2018.

Ni mda mrefu sasa sijamsikia kamanda na msemaji wa Jeshi la Police Tanzania (JLPT) mwanamama Advera Senzo Bulimba. Je, aliacha kazi au alihamishwa idara?

Nilimpenda sana yule mama hasa alivokuwa akicheza na microphones.
 
Are you? Yes we are! she was very impressive!
 
Ametumbuliwa kistaarabu kama mangustino
 
advera ssp.jpg

Jamani yuko wapi siku hizi huyu msemsji wa Polisi.

Nilikuwa napenda sana press conference zake.
 
ACP Advera Bulimba huyu mtu wa dini sana hana kauli tata anasali kanisa la praise and worship anafundisha watoto hadi nyimbo za kuimba.
.
Sasa hivi anafanya kazi nyingine alibadilishwa.
Kilichomfanya aondolewe ni kuwa na kauli za kiungwana sana dhidi ya waliopanga maandamano ya UKUTA Masanja wa JWTZ alikuwa anazungumza kimafia alafu yeye anapooza kimama mchungaji
 
A beuty law enforcer with a human heart.
 
ACP Advera Bulimba huyu mtu wa dini sana hana kauli tata anasali kanisa la praise and worship anafundisha watoto hadi nyimbo za kuimba.
.
Sasa hivi anafanya kazi nyingine alibadilishwa.
Kilichomfanya aondolewe ni kuwa na kauli za kiungwana sana dhidi ya waliopanga maandamano ya UKUTA Masanja wa JWTZ alikuwa anazungumza kimafia alafu yeye anapooza kimama mchungaji
Hata mkuu wa Tiss mstaafu alikua Mchungaji.
 
Alikuwa mchungaji wa ng'ombe, mbuzi, punda, au mchungaji wa wanyama gani????

Mbona matukio ya utekaji, utesaji NA uuaji wa binadamu yalishamiri sana??

Kwani huyo anayesema huyo mama msemaji wa jeshi anafundisha kwaya nae atakua anafundisha kwaya ya mabubu au?

Ungekua na akili ya ku-connect dots ungeelewa point yangu kwamba huyo mama ambae amemuita ni mtu wa dini hio ni cover tu ukiingia kwny anga zake kucha zitatolewa kama kawa,sema sababu kichwa ni kigumu to read btn the lines ndo hivyo tena.
 
Back
Top Bottom