Yupo wapi mwanamama Advera Senso/Bulimba?

Yupo wapi mwanamama Advera Senso/Bulimba?

ACP Advera Bulimba huyu mtu wa dini sana hana kauli tata anasali kanisa la praise and worship anafundisha watoto hadi nyimbo za kuimba.
.
Sasa hivi anafanya kazi nyingine alibadilishwa.
Kilichomfanya aondolewe ni kuwa na kauli za kiungwana sana dhidi ya waliopanga maandamano ya UKUTA Masanja wa JWTZ alikuwa anazungumza kimafia alafu yeye anapooza kimama mchungaji

Umeeleweka mkuu kwani Uraiani CV yake iko super huko ughaibuni ana CV hewa!
 
Write your reply...huyu mama bwana niliwahi kukaa nae maeneo ya Tabata Muslimu, ila kwa sasa nahisi atakuwa mkoa wa Mwanza
 
Nachenguka sana na wanawake wa design hizo yaani wenye ndevu!!
 
Alipelekwa kuwa Afisa mnadhimu wa Polisi Mwanza yaani kama msogeza mafaili kwa RPC au mshauri hivi
 
Wakuu,

Poleni na majukumu na Heri ya 2018.

Ni mda mrefu sasa sijamsikia kamanda na msemaji wa Jeshi la Police Tanzania (JLPT) mwanamama Advera Senzo Bulimba. Je, aliacha kazi au alihamishwa idara?

Nilimpenda sana yule mama hasa alivokuwa akicheza na microphones.

"Nilimpenda sana yule mama hasa alivokuwa akicheza na microphones"
 
Kuna yule alie kuwa rpc wa morogoro adolfina chialo, sijui nae alifanya nini kipindi cha kikwete mpaka leo hajulikani aliko zaidi ya kuambiwa amehamishiwa makao makuu, kisa alimlaza rumande mwenyekiti wa ccm mkoa toka ijumaa mpka jumatatu.
 
Wakuu,

Poleni na majukumu na Heri ya 2018.

Ni mda mrefu sasa sijamsikia kamanda na msemaji wa Jeshi la Police Tanzania (JLPT) mwanamama Advera Senzo Bulimba. Je, aliacha kazi au alihamishwa idara?

Nilimpenda sana yule mama hasa alivokuwa akicheza na microphones.

Amepata shavu la U-DC Nzega Hii leo July 9, 2020
 
Back
Top Bottom