Yupo wapi mwanaharakati huyu wa UDSM?

Yaani bahati tweve umemsahau?
 
Yaani bahati tweve umemsahau?
 
Wasomi wa nchi nyingine wanasumbuka na programming (codes) , wasomi wa Tanzania muda huu wanajikumbushia ujinga waliokuwa wakifanya enzi hizo za usomi wao.
 
Kuna watu uharakati wao ulihamasishwa na mob psychology ya UDSM, nje ya UD! they are nothing!. Wako wapi kina Sikitiko Kapile , Emile Kivugo, kina Bazigiza baada ya UDSM?!.
P.
Paschal umenikumbusha Emily Kivugo,nilikuwa first year tuliposalitiwa na Kusaja,Mkili R.I.P akasonga mbele.Magabe na yeye sijui yuko wapi ,Eliya sasa anaitwa Godfrey Wasonga kada wa CCM.
 
Hiyo imetiwa sukari,Loans board ilianzishwa 2004 na ili kila anayestahili apate mkopo.
 
Duh kweli dunia hii ya Africa [emoji288] usitumie sana logic maana waafrica logic hawana kinachofuata ni maumivu
 
Sasa hivi hamna kitu kabisa pamepoa sana
 
Mwambie tuna Publisher JF, where we dare to Talk Openly. Alete huo mswada. Kama lugha ni Kali sana tuta ifanyia coding kupunguza ukali ingawa maana itabaki palepale!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…