Yupo wapi mtu huyu?

Yupo wapi mtu huyu?

Katitima

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
634
Reaction score
125
Wakuu kuna rafiki yangu nilipotezana muda mref sana tangu enzi za shule ya msingi,

anaitwa THEODORY COSMAS NGUNGA.

naomba msaada wakuu kama kuna yeyote mwenye/anayeweza kupata taarifa zake anijuze.

Natanguliza asante wakuu
 
Na mi nna rafiki yangu anaitwa Hamisi Kombakono nilipotezana naye tokea mwaka '95.

Naomba msaada wakuu kama kuna yeyote mwenye/anayeweza kupata taarifa zake anijuze.
 
Natafuta mshahara nimeumiss yapata siku 13 sasa
 
Kama una account Facebook, basi mtafute katika hiki kiunganishi hapa chini.

BOFYA HAPA : Ngunga Cosmas Ngunga .

Wakuu kuna rafiki yangu nilipotezana muda mref sana tangu enzi za shule ya msingi,

anaitwa THEODORY COSMAS NGUNGA.

naomba msaada wakuu kama kuna yeyote mwenye/anayeweza kupata taarifa zake anijuze.

Natanguliza asante wakuu
 
namtafuta lazymate wangu, popote alipo
 
mkuu watu8,katika watu ninaowaheshimu humu jf ni pamoja na wewe mkuu,hujawah kuleta mzaha kwenye suala la msingi hata kidogo nashukuru sana mkuu wangu.

Pamoja mkuu...
 
Back
Top Bottom