Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,810
- 7,696
Hahahaaa, itakuwa Rainfred Masako huyu au Chuwa?Na yule wa radio one anaependa suruali za kufungia mabegani yupo wapi? Jina limenitoka kidogo, niliyapenda sana mahojiano yake radio one
Huyu alishaenda kwa fundi nyamaza siku nyingiKuna huyu David Wakati pia
Pasco Mayalla ndio huyu huyu wa JF ama ni mwingine......Umenikumbusha mbali sana hizi sauti zilikuwa ni za dhahabu hebu ngoja tuanze na listi nayoikumbuka ilikuwa lazima ikifika vipindi vyao nitege sikio
Abou liongo-michezo
Ahmed Jongo-mpira
Ahmed kipoza-mpira
Charlz hillary-mpira
Dominic chilambo-mpira
Salum mbonde-mpira
Sulemani hega -michezo
Aloyce maneno-ombi lako
Bakari msulwa-salamu
Bakari kikoloma-enzi za vita vya nduli
Betty mkwasa-mahospitalini
Bujago Izengo wa Kadago
Chriss katembo
Christina chikunogera-ugua pole
Eda sanga
Harid ponela
Jacob tesha-habari
Nyaisanga
Malima nderema
Mohamed ngayoma
Mayoka-mpira
Pascal mayalla-mwana jamvi atajitokeza kuweka uhondo zaidi
Sued mwinyi-mpira
Tumbo risasi -kigoma
aiseeeJibu sahihi kutoka kwa mtu sahihi hili hapa:
Mzee Jacob Tesha alishastaafu kazi ya Uandishi na Utangazaji na hivi sasa ametulia kwake hapa Ubungo Msewe.
Kama mnapajua Msewe Chinatown Pub (achana na Connection, kwa chini yake sasa).
Hiyo Chinatown Pub ni sehemu ya Eneo la nyumba yake pale...
Mimi naongea kama ex-Mpangaji wake (maaana ana nyumba kwa chini pale (Nyuma ya hiyo Pub) anapangisha wanafunzi wa UDSM.
Nimehama pale Mwaka jana, na juzi nimepita nimemkuta anajipoza na Bia bariiidi...
Sema mzee Mswahili sana.. Maji anatulipisha 10,000 kwa mwezi halafu anafungulia mara mbili tu kwa week... Ndio sababu ya mie kuhama pale kwake..
Hivo Basi... Mzee Tesha yupo kwake Ubungo Msewe Chinatown Pub.
Malongo kafariki mwakajuzipia wako wapi kina Ezekiel Malongo aliyekua mtangazaji wa mpira?? na Swedi Mwinyi,Shabani Kisu?