Yuko Birmingham, Alabama, anakamilishakamilisha ule mpango (exchange program) wa kuwawezesha vijana wa Kawe kutembeleana na kubadilishana uzoefu na vijana wenzao wa Birmingham. Promise made, promise kept!😁Habari!!
Sijamsikia kwa muda mrefu kidogo Mh Mch Gwajima, mbunge wa Jimbo la Kawe.
Kuna mwenye taarifa alipo mheshimiwa huyu? Mbona kimya sana? au ni Mimi tu ndiye simsikii?
Nitashukuru sana kwa taarifa za alipo.
Ahsante
Kupiga kampeni ni rahisi sana -- wananchi wa kawe wajifunze uvuvi -- wanasiasa wanatoa ahadi hewa sanaYuko Birmingham, Alabama, anakamilishakamilisha ule mpango (exchange program) wa kuwawezesha vijana wa Kawe kutembeleana na kubadilishana uzoefu na vijana wenzao wa Birmingham. Promise made, promise kept!😁
Yuko Birmingham, Alabama, anakamilishakamilisha ule mpango (exchange program) wa kuwawezesha vijana wa Kawe kutembeleana na kubadilishana uzoefu na vijana wenzao wa Birmingham. Promise made, promise kept!😁
Yuko Chaumma na ndiye anayewavuta G55 tayari kwa October 😂Tumuulize huyu kada wa lumumba johnthebaptist atakua ana a, b, c zake
Hahahahahaha.....!Hahahah nimecheka kwa sauti kubwa, kweli JF never bores yani!