Yupo wapi Member mwenzetu Evelyn salt?

Aisee hata mimi namshangaa toka mwanzo kaanza matusi mara sina kazi, mara mi dem mara mi nimezidi ujinga.. itakua wivuu tuu.
Na wewe utakuja kuwa na familia ,, imagine wewe baba ako angekuwa anapenda mtu ambae jina enyewe ni fake sura unknown 😁 jitahdi ufike kwa mamposa my love wngu😍
 
Na wewe utakuja kuwa na familia ,, imagine wewe baba ako angekuwa anapenda mtu ambae jina enyewe ni fake sura unknown 😁 jitahdi ufike kwa mamposa my love wngu😍
wewe utakua chizi tuu umejuaje mimi na huyo dada hatufahamiani,
 
Mimi nilijua ni Baby Gril wewe kumbe Mwanaume sasa mbona una Mambo ya kishenzi nikajua Binti mrembo sana
atakua mchicha mwiba huyu naona anajilengesha kweli aliwe
 
Mbona hata mimi #Reptilia sitafutwagi? warda tafadhal naomba unitafte
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…