Yupo wapi Member mwenzetu Evelyn salt?

We jamaa vipi, mbona kama umepata wivu sana na rafiki angu....makasiriko yote haya ya nini???
Aisee hata mimi namshangaa toka mwanzo kaanza matusi mara sina kazi, mara mi dem mara mi nimezidi ujinga.. itakua wivuu tuu.
 
Aisee hata mimi namshangaa toka mwanzo kaanza matusi mara sina kazi, mara mi dem mara mi nimezidi ujinga.. itakua wivuu tuu.
Achana nae labda anakuzimia 🤣🤣🤣🤣 kajisikia vibaya kuona nawe unanizimia
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…