Niko naye kwani vipi mbona unaulizia mizigo ya watu?Jamani huyu mtu kapotea ghafla mwenye taarifa zake mwana familia mwenzetu Jamani!
Yupo kuna sehemu nilimuona,tarehe 1/9huu.Yoteeee,hata huko jukwaa tamu MMU hayupo kapotea.Ina taarifa zake?
Wikend hii mkuu anaweza kuwa anapiga threesome matata sehemu🤣🤣🤣🤣🤣Jamani huyu mtu kapotea ghafla mwenye taarifa zake mwana familia mwenzetu Jamani!
Au waliaidiana watoke wote wkend hii; kwenye mawasiliano akawa hapatikaniWikend hii mkuu anaweza kuwa anapiga threesome matata sehemu🤣🤣🤣🤣🤣
Hadi nimecheka, eti nilishinda kwenye uzi wa bilnass 😂😂😂😂😂 jamani!!!Jana alishinda kwenye uzi wa Bilnas.
View attachment 2343257