Yupo wapi kada maarufu wa CCM Nicodemus Banduka

Nakumbuka kwenye siasa za jimbo la Same ambapo marehemu Chediel Y Mgonja (RIP) alikuwa mshiriki (Mbunge kwa miaka mingi), Bwana Nicodemus Banduka alikuwa akizunguka kwa wananchi na mstari wa Biblia wa Ezekiel 7:7 kwa ajili ya kumwangusha Mgonja, ingawa hawakufanikiwa na lengo lao ovu kwa miaka mingi. Washirika wengine waliokuwa nyuma ya Banduka walikuwa Kisumo Peter, Cleopa Msuya, Mgaya wa Same Elephant Motel, Marehemu Samwel Mdee na Judge kiongozi Nassor Mzavas. Ilibidi Mzavas atumie njia ya Mahakama ya Rufaa Tanzania na hatimaye kumkomoa Mgonja. Anyway Banduka alishiriki siasa za chuki kuu kule Same.
 
Hilo la kuhusu huyu mwanadamu kuchukiwa na ndugu zake ni kweli. Mimi nafahamiana na baadhi ya ndugu zake na wanasema jamaa ni mchonganishi na mbabe na ubabe wake ni ule usio na msingi, ubabe wa kitoto. Mtu mwenyewe kafulia. Na hii ndio ilisababisha akakosa ubunge kule kwao.

mtu ukifulia inatakiwa uwe mpole ili wenzako wakusaidie sasa yy anakuwa mbabe ataozea kijijini , hajifunzi kwa mwenzake mangula !!.
 
Naomba kufahamishwa alipo ndugu Nikodemus Banduka kada wa CCM. Shupavu aliyekuwa Mkuu wa Mkoa miaka ya nyuma ila amepotezwa ghafla.
Anakula hela alizoiba SAMCO akiwa RC Ruvuma. Akatengeneza kifo cha meneja wa SAMCO akiwa nyumba ya kulala wageni Iringa. Huyo ndiye Banduka.
 

Mmoja kati ya waliokuwa ma-RC wababe sana enzi zake.

Akiwa Ruvuma aliwahi kumfanyia njama mwandishi habari wa kujitegemea, Adam Mwaibabile Mwana (rip) na kumfunga jela. Hii ilikuwa ni baada ya kuyalipua sana mabomu ya RC huyu ndipo akamwekea nyara za serikali na kutuma askari kumkamata na baadaye mahakama kumfunga 4 yrs.

Hata mie sijui alipo!!
Miongoni wauaj wakuui wa RCU ruvuma cooperative union
 
Kwa wananchi wa kawaida, mnamkumbukaje Mhe. Nicodemus Banduka? Kama kiongozi bshupavu au kamanda mahiri anayeamnini katika ukomunisto
Abakumbukwa Kama mwizi
Aliiba chama kikuu Cha ushirika Ruvuma Hadi akasababisha aliyekuwa meneja mkuu wa hicho chama kujiua Iringa alikomfuata akiwa mkuu wa mkoa wa Iringa Baada ya kuhamishwa toka Ruvuma

Meneja lilipobuma alimfuata kuwa mzee mapesa ya watu hawakuelewana nadhani yule meneja akajiua eneo la kilimani nyumbani kwa Mchungaji alikofikia

Mwizi huyo
 
Naomba kufahamishwa alipo ndugu Nikodemus Banduka kada wa CCM. Shupavu aliyekuwa Mkuu wa Mkoa miaka ya nyuma ila amepotezwa ghafla.
Alikuwa mjinga mjinga huyu jamaa.
Alikuwa anaweka sifa mbsle.
Hata hivyo sasa ni kikongwe ambaye hana mvuto.
Tunafahamu madudu yake mengi tu.
 
Back
Top Bottom