Yupo wapi Jasusi Apson Mwang'onda

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,704
Reaction score
7,409
Habari wana JF.

Niende kwenye mada hapo juu.

Apson Mwang'onda ni mmoja wa DG wa TISS hapo zamani. Anakumbukwa baada ya kustaafu alikuwa team Lowassa akiwa mwanamikakati wa kumsaidia kuusaka urais kupitia CCM.

Hata hivyo wajuvi wanadai alikuwa kule kwa Lowassa kimkakati kwa ajili ya kazi maalumu ambayo aliifanikisha na kuhitimisha June 2015.

Yupo wapi mtu huyu?
 
Mara ya mwisho alionekana kwa Mkulu akiomba ruhusa kwenda matibabu London ili kutibu meno. Mkulu alimkatalia akaagiza fedha alizokuwa anaomba kwenda nje zitumike kuagiza vifaa vya kutibu meno, viwekwe pale kambini Kijitonyama (hospitali ya kitengo) ili Mzee Kipara aende pale atibiwe. Mzee Kipara aliamua kwenda kutibiwa kwa gharama zake mwenyewe.
 

Kwa maneno mengine yupo katikati ya nyundo ya mkulu na ukuta wa chuma
 
Aisee!
 
mkuu weka nyama kidogo, alipewa mission ipi juu ya Lowassa?
 
Yani mtu kesha staafu bado tu unauliza yuko wapi? Mwache apumzike!!
 
Yupo ila kidogo kiafya hayuko sawa
 
Wee mbeyaa eti hosp ya kitengo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…