Yupo wapi Dr. Ulimboka?

Yupo wapi Dr. Ulimboka?

buchuja

Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
86
Reaction score
10
Jamani wana Jamiiforums sote tunajua kisa cha dr. Ulimboka. Kinachonishangaza mimi hapa tangu arudi nchini kutoka mbondeni kawa kimya yuko wapi huyu jamaa, au Interejensia ya bongo imemficha asisimulie mkasa

Naomba mchango wenu Jamani

Yu wapi? Na anafanya nini?.......................
 
Mkasa gani tena unataka asimulie, mbona alisimulia.
 
Ulimboka yupo sana Nyumbani kwake
Kipindi kile alikua Rais wa chama cha Dakitari
Saiz ni Doctor wakawaida sasa utamsikia wapi
Ila kama unashida naye fika Ubungo Riverside pale Angalia kwa juu kama unaenda kibangu utaona kigorofa juu kimeandikwa Kidamai pita chini yake hapo kwenye kichochoro nyumba kama ya tano tu utakua umefika kwa wazazi wake waulize yupo wapi watakueleza yupo wapi
 
Kile kilikuwa kizazi kingine....
 
Back
Top Bottom