Yupo wapi Alfred Lwakarate kamanda?

Yupo wapi Alfred Lwakarate kamanda?

combra

Senior Member
Joined
May 28, 2012
Posts
130
Reaction score
31
Huyu mtu sijamwona tokea kampeni zimeanza na ni mtu muhimu sana ni Mkurugenzi wa ulinziCHADEMA au na yeye amepotezwa kama wale wawili.
 
mkistuka mmeshakung'utwa!!!

mnataka Lowasa aseme sanaaaa mnakuta hola anadokoa speech yake kwa mstari, mpaka anafunga kampeni na hotuba inaishia hapo, mnaishia kubishana wenyewe kwa wenyewe hawezi kusema, anaweza kusema, hawezi, anaweza!!!!
Lowasa anachanja mbuga
Jana kagusa sehemu watanzania wakipenda kuisikia kitambo "Posho za wastaafu" amesema zitaboreshwa.

hapo mniambie wenyewe, vijana wako ukawa, baba zao wameahidiwa haki yao ya posho nono, akina mama kupewa kipaumbele kwenye huduma za afya kwa kuanzia na uzazi.

NANI ATABAKIA CCM

Lowasa akipita huko majimboni itakuwa ni kuwapigia kampeni wagombea wa ubunge na udiwani.

ENDELEENI KUULIZIA TIMU YA KAMPENI YA UKAWA, IKIBIDI NENDENI MPAKA TUME YA UCHAGUZI AU HATA KWA MSAJILI ILI MSHINIKIZE UKAWA WATAJE TIMU YAO YA KAMPENI.
 
huyu mtu sijamwona tokea kampeni zimeanza na ni mtu muhimu sana ni mkurugenzi wa ulinzi chadema au na yeye amepotezwa kama wale wawili...

Pale Jangwani ndie alikuwa anathibiti mambo yote ya ulinzi, alikaa jukwaa kuu na mda wote alikuwa shongo feni km mlinzi wa Rais, namkubali sana huyu kamanda!
 
huyu mtu sijamwona tokea kampeni zimeanza na ni mtu muhimu sana ni mkurugenzi wa ulinzi chadema au na yeye amepotezwa kama wale wawili...

Kwani ukumwona juzi Jangwani angalia clip ya Sumaye utamwona pembeni
 
Duu watoke tuu wametubuluza sana aisee hawa jamaa naona hawana tofauti na makaburu..nchi tajiri watu wake masikini katika bara la Africa ? Watoke aisee na vurugu kutakua hakuna ni kura tuu.
 
Ccm ni mambulula haahaaa! Na watakoma lowasa ndo hivyoo anachanja mbuga tena kwa ufundi mkubwa na ubunifu sahihi, haijawahi kutokea. Magufuli karithishwa yale yale ya ccm ni kubwabwaja tu mpaka mwishowe wanasahau waliyo danganya.

Lowasa is geneous.
 
Yes,mleta mada nadhani hapo juu wameeleza vyema.Ni mweusi hv ananyoa km pank flani hv ,ukiipata clip ya Sumaye akiongea utamuona kavaa kombati ya kaki.
 
huyu mtu sijamwona tokea kampeni zimeanza na ni mtu muhimu sana ni mkurugenzi wa ulinzi chadema au na yeye amepotezwa kama wale wawili...

Alfred Lwakatare kwa kweli hata Mimi sijawahi kumwona inawezekana huyu hayuko UKAWA! Mimi ninayemfahamu na nilimwona pale jangwani siku ya uzinduzi ni Wilfred Lwakatare, alikuwa amesimama nyuma ya meza kuu!! Huyo unayemtaka wewe huenda ni kakake!!
 
huyu mtu sijamwona tokea kampeni zimeanza na ni mtu muhimu sana ni mkurugenzi wa ulinzi chadema au na yeye amepotezwa kama wale wawili...

Ulikuwa unamjua kwa sura kabla ya kampeni? If YES basi wahi ukacheki macho yawezekana yanapoteza nguvu or matatizo ya nerves nakushauri waone wataalam ma-Neurosurgeon
 
Kwenye uzinduzi wa kampeni za Ukawa alikuwa Bodyguard mkuu au humjui.
 
Fika Bukoba ndipo utampigia saluti anavyoabudiwa kama masiha. Nikibahatika kulala Bukoba nikiwa naelekea kwa Mseveni huwezi amini kama Bukoba ikijitenga leo basi raisi wako ni Lwakatare.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom