Yupo wapi Alfred Lwakarate kamanda?

Yupo wapi Alfred Lwakarate kamanda?

mkistuka mmeshakung'utwa!!!

mnataka Lowasa aseme sanaaaa mnakuta hola anadokoa speech yake kwa mstari, mpaka anafunga kampeni na hotuba inaishia hapo, mnaishia kubishana wenyewe kwa wenyewe hawezi kusema, anaweza kusema, hawezi, anaweza!!!!
Lowasa anachanja mbuga
Jana kagusa sehemu watanzania wakipenda kuisikia kitambo "Posho za wastaafu" amesema zitaboreshwa.

hapo mniambie wenyewe, vijana wako ukawa, baba zao wameahidiwa haki yao ya posho nono, akina mama kupewa kipaumbele kwenye huduma za afya kwa kuanzia na uzazi.

NANI ATABAKIA CCM

Lowasa akipita huko majimboni itakuwa ni kuwapigia kampeni wagombea wa ubunge na udiwani.

ENDELEENI KUULIZIA TIMU YA KAMPENI YA UKAWA, IKIBIDI NENDENI MPAKA TUME YA UCHAGUZI AU HATA KWA MSAJILI ILI MSHINIKIZE UKAWA WATAJE TIMU YAO YA KAMPENI.


Ninavyoona mpaka hivi sasa UKAWA wameelekeza nguvu zao zote kwenye uchaguzi wa Lowassa kuwa RAIS na kusahau kuwa madiwani na wabunge ni muhimu sana kumpa nguvu Lowassa iwapo atashinda; hivyo ni vyema wakatia makazo pia kwenye chaguzi za ubunge na madiwani!!!
 
Hakuwa Mlengwa wa Shughuli hizo ufanyiazo tathimini. Kwa nafasi yake sidhani ni lazima aonekane.
 
Mashine zitumikazo wakati wa kazi maalum!

Anafanya mikakati ya kushindisha chama BUKOBA
 
Huyu hapa kama humjui, akizindua Campaign Bukoba
 

Attachments

  • 1441014831917.jpg
    1441014831917.jpg
    8.1 KB · Views: 145
tulikuwa naye jukwaa kuu akisimamia usalama,yupo kamanda Muganyizi anagombea ubunge bkb mjini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom