Girland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2016
- 2,714
- 4,738
Kuelekea tarehe 29 October,Tokea tusikie press ya afisa wa jeshi la wananchi Captain Tesha, Jeshi la wananchi limetoa press mbili na zote zikitolewa na Kaimu mkurugenzi wa mawasiliano KANALI Benard(Ex ADC wa Rais Magufuli)
Inatafakarisha na kujiuliza je msemaji mkuu wa jeshi KANALI ILONDA yuko wapi na kwanini jambo nyeti kama hili anapewa Kaimu?.
Wajuzi wa mambo mtusaidie !
Inatafakarisha na kujiuliza je msemaji mkuu wa jeshi KANALI ILONDA yuko wapi na kwanini jambo nyeti kama hili anapewa Kaimu?.
Wajuzi wa mambo mtusaidie !