Yupo mwana JF bado anacheza BIKO?

Biko nilishapata laki tano, tatumzuka nilipata milioni mbili. Ila huwezi kula kama haupo tayari kuliwa.
 
Mimi nilisha cheza na nilisha shinda kabisa
 
Na wabunge wanacheza, spika kawapiga biti leo!
 
Mtu anaambiwa "Umeshinda milioni 10" Yeye anajibu "Asante zitanisogezasogeza" Shwain kabisa!
 
Kuna jamaangu anacheza biko, anapataga buku 20 au buku 50, anajuhudi za kucheza
 
Mimi naiangaliaga Biko sababu ya ile turbo ya kisukuma na miguu ya tembo mtoto,mambo ya pesa mnayajua wenyewe
 
Mara ya mwisho kucheza ujinga ujinga kama huo ni kwenye jackpot bingo
miaka mingi nyuma
Ile ilikuwa ni ya uwazi, sababu vipira vinachezeshwa na kuokotwa live mbele ya wahudhuriaji studio, wewe unahakiki tu ticket yako
 
Biko nilishapata laki tano, tatumzuka nilipata milioni mbili. Ila huwezi kula kama haupo tayari kuliwa.
Watu kama nyinyi ndio biko inawatumia kuwaingiza kingi wenzenu, wanawaonjesha ushindi ili mkatoe ushuhuda na kivutia wengi zaidi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…