Niliwala tatu mzuka laki moja japo walintumia elf 82 baada ya makato ya kodi màana walishanipiga kama elfu 9 hawakuniona tena hadi leo wasije wakarudisha pesa zao
At the beginning: Malipo yamekamilika umelipa Tsh30000 kwenda BIKO.Kumb no.505050
At the end: BIKO! BIKO! BIKO! umejishindia Tsh 5000 kutoka BIKO salio lako jipya ni Tsh 4200..una nafasi 30 kwenye jackpot ya Jumatamu
My take:wezi wa sasa hawakabi wala kutumia nguvu...Bali hutumia saikolojia kuwapumbaza mazuzu...iweje utoe 30000 halafu upewe 5000??? Ndugu zangu Watanzania tujitathmini...Mnaliwa sana!