Yupo Mfanyakazi wa 1391, hamtaki tu kumtaja

Gavana aliachiwa pale pale barua mbona kama Sefue alivyopewa asome majina akakuta na lake lipo
 
Hivi ni kweli BOT ina watumishi 1390,kwa maana kila tawi lina watumishi zaidi ya 200?,.Hili ni busha sio jipu..!
 
[E="CHAZA, post: 15544524, member: 114660"]Kama hilo ni kweli, watanzania tumeliwa sana. Yaani F zote lakini anakula maisha BOT.
Katika Taasisi ambazo muundo wa ajira zake ambazo kimsingi ni za umma lakini ni za KISHENZI,UBAGUZI, VIMEMO,UKANDA,KUJUANA basi TRA,TPA,BOT,HAZINA wanaongoza. Huko nyuma nmewahi kuomba lakini hata shortlist tu sijawahi kuona ikirudi na jina. Na mara nyingi utaona kimyaa, ukifuatlia utaambiwa mbona tayari watu wapo kazini. Yaani ni undugunization uliopitiliza. Akibahatika mtoto wa mkulima ni mmoja tena kama geresha tu. Hawa wanapaswa kumulikwa. Sehemu zenye maslahi mazuri na package nzuri, majina ndo hayo kama tulivyoyaona yakiwekwa mitandaoni. Sehemu za juani ndo watoto wa wakulima ambao wamejitahidi kuokoteza ada basi hupelekwa huko. Majina tajwa kwenye list huwezi kuyaona kwenye panton, mizani, na maeneo mengine ya kuhustle katika utumishi. Hizi taasisi zinatakiwa zimulikwe hasa na kufanyiwa reshuffle na total overhaul[/QUOTE]

Dont forget pension funds!
 
Kilichofanya wafungwe kilikuwa ni nini? Wakati kulikuweko wenye makosa makubwa zaidi yao? Huwa najiuliza tu?
Huwa hata mimi najiuliza hilo swali. Halafu inaelekea walikua hawaivi na jk hadi akashindwa kuzuia jamaa kufungwa? Maana serikali iliyopita ilikua rahisi tu mtu mkubwa kufanya kosa na akakwepa hukumu.
 
Embassy Staff | SwedenAbroad
Umeumbuka. Mwanzo ulikua unabisha kwamba simjui na sijasoma nae. Badae ukadai wewe ndiye esoma nae na kwamba nadanganya yupo ubalozi. Muda wote huo hukubishia jina lake. Nimekuwekea link ya staff wa ubalozi huo Sasa unadai haitwi silvia. Sijui ukoje
Mkuu alikana jina toka mwanzo,
Ila hata hivo sioni haja ya kulumbana kuhusu hilo, mnaweza kukosana bure kwa vitu visivyo na kichwa wala miguu, hebu potezea kiroho safi...
 
Kilichofanya wafungwe kilikuwa ni nini? Wakati kulikuweko wenye makosa makubwa zaidi yao? Huwa najiuliza tu?
Sasa mramba na Yona utasema walifungwa wale???ukitaka watu walofungwa utawataja wale kuwa walifungwa
 
Kilichofanya wafungwe kilikuwa ni nini? Wakati kulikuweko wenye makosa makubwa zaidi yao? Huwa najiuliza tu?
Wizi wa Bil 11 mpaka sasa ndo wizi mkubwa ambao washtakiwa wake walifika mahakaman na kuhukumiwa,taja walioachwa nje,then fatilia kuna watu wangapi wana makosa madogo kweli ukilinganisha na.mramber na Yoner leo wapo wanasota magerezani
 

  1. Filbert Tluway Sumaye

  2. Zaria Rashid Kawawa

  3. Salama Ali Hassan Mwinyi

  4. Blasia William Mkapa

  5. Herriet Marten Lumbanga

  6. Pamela Edward Lowassa

  7. Rachel Muganda

  8. Salma Omary Mahita

  9. Justine Mungai

  10. Kenneth Nchimbi

  11. Violet Philemon Luhanjo

  12. Liku Kate Kamba

  13. Thomas Mongela

  14. Jabir Abdallah Kigoda

Hayo majina kweli ni ya wafanyakazi wa BOT ambao wazazi wao wameshawahi kuwa viongozi. Lakini hivi mzazi wako akiwa kiongozi huruhusiwi kupata kazi BOT? Nilitegemea list ya watu wanaolipwa mshahara kutoka BOT lakini sio wafanyakazi.
 
[E="CHAZA, post: 15544524, member: 114660"]Kama hilo ni kweli, watanzania tumeliwa sana. Yaani F zote lakini anakula maisha BOT.
Katika Taasisi ambazo muundo wa ajira zake ambazo kimsingi ni za umma lakini ni za KISHENZI,UBAGUZI, VIMEMO,UKANDA,KUJUANA basi TRA,TPA,BOT,HAZINA wanaongoza. Huko nyuma nmewahi kuomba lakini hata shortlist tu sijawahi kuona ikirudi na jina. Na mara nyingi utaona kimyaa, ukifuatlia utaambiwa mbona tayari watu wapo kazini. Yaani ni undugunization uliopitiliza. Akibahatika mtoto wa mkulima ni mmoja tena kama geresha tu. Hawa wanapaswa kumulikwa. Sehemu zenye maslahi mazuri na package nzuri, majina ndo hayo kama tulivyoyaona yakiwekwa mitandaoni. Sehemu za juani ndo watoto wa wakulima ambao wamejitahidi kuokoteza ada basi hupelekwa huko. Majina tajwa kwenye list huwezi kuyaona kwenye panton, mizani, na maeneo mengine ya kuhustle katika utumishi. Hizi taasisi zinatakiwa zimulikwe hasa na kufanyiwa reshuffle na total overhaul

Dont forget pension funds![/QUOTE]
ADDITION, NHIF
 
nasikia dildo la mkwere lilisafiri safari nyingi zisizokuwa na tija kwa huyu wanawake na maendeleo je ni kweli?
 
Wizi wa Bil 11 mpaka sasa ndo wizi mkubwa ambao washtakiwa wake walifika mahakaman na kuhukumiwa,taja walioachwa nje,then fatilia kuna watu wangapi wana makosa madogo kweli ukilinganisha na.mramber na Yoner leo wapo wanasota magerezani
If you say so. Lakini mengi yatadhihirika ndani ya huu mwaka mmoja wa Magufuli. Hapo ndio tutakuwa in a position ya ku judge.
 
If you say so. Lakini mengi yatadhihirika ndani ya huu mwaka mmoja wa Magufuli. Hapo ndio tutakuwa in a position ya ku judge.
Itakua powa,ila kama hujaona kuwa watu wanakuwa treated kwa vyeo vyao na Surnames zao basi utakua unajipofusha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom