Yupi wa kuoana naye?

Hakuna anayefaa kuoa hapo! kwani ndoa is a double way street. Hapo naona kuna One way tu: au aliyekupenda sana (yaonekana wewe ulimpenda kidogo) au uliyempenda sana (yaonekana yeye alikupenda kidogo). Wote si wa kuoa. Wa kuoa lazima awe yule tuliyependana sana WOTE WAWILI mpaka tukawa ngozingozi, nyamanyama, damudamu, mfupafupa, na moyomoyo. Hapo sasa!
 
Back
Top Bottom