Ndara Mbovu
Senior Member
- Feb 28, 2017
- 155
- 83
Dada, aamue amempenda yupi hapo bila kutuchosha sababu yeye ndie anaejua moyo wake.Mwanamke asiyependa ndugu zako unaoa wa nini?
Nisaidie kunielewesha mkuu kama umemwelewaMwanamke asiyependa ndugu zako unaoa wa nini?
Tabia hii nimeikuta tukiwa tunaishi pamoja hapo kabla haikuwepo kiivyo na nilifikili itabadirika
Ana wananwake wawili, mmoja anaishi nae na mwngine alikuwa mchepuko. Ila anaeishi nae hapendwi na ndg zake ila mchepuko ndio unapendwa na kwa sasa huo mchepuko ni mjamzito.
Wanaume kama hawa ndio wanakujaga kuvunja nyumba kwa kukosa misimamo. Juzi kati tu kuliibuka mjadala wa hivi baina yangu na wazee wangu...suprisingly bi mkubwa alinichana akadai kwani mke wako unaemtaka sie anatuhusu nini? Wala hatuna mamlaka ya kukupangia kama mmependana kazi ni kwenu tu kwani tunaenda ishi nae sisi! Ha ha ha,Jiulize unaoa kwa ajili yako au unaolea ukoo wako??
Je ni ujauzito ndio umekufanya utake muoa huyo au ni hayo mapenzi ya nduguzo??
Hebu stand as a man, kua na msimamo, we usikubali kupelekeshwa na hisia wakat mwengine hutuongopea fikirisha akili yako na moyo wako utapata majibu
ndio itakiwavyi, mtoto anapofikia umri wa kuoa wazazi wanatakiwa wabakie kama washauri tu na mwenye maamuzi ya mwisho ni mtoto kuingilia misimamo na mtoto kutokua na msimamo hata ndoa haitadumuWanaume kama hawa ndio wanakujaga kuvunja nyumba kwa kukosa misimamo. Juzi kati tu kuliibuka mjadala wa hivi baina yangu na wazee wangu...suprisingly bi mkubwa alinichana akadai kwani mke wako unaemtaka sie anatuhusu nini? Wala hatuna mamlaka ya kukupangia kama mmependana kazi ni kwenu tu kwani tunaenda ishi nae sisi! Ha ha ha,
Sasa ni mpaka uwe na wazazi waelewa kimsingi nadhani shule pia inasaidia sana pamoja na hekima.ndio itakiwavyi, mtoto anapofikia umri wa kuoa wazazi wanatakiwa wabakie kama washauri tu na mwenye maamuzi ya mwisho ni mtoto kuingilia misimamo na mtoto kutokua na msimamo hata ndoa haitadumu
of course me kabla sjaolewa honestly sikua tayari mwenzangu ndio alikua tayari ilibidi mama aniweke chini alhamdulillah niko ndoani now so hekima za wazazi pia ni muhimSasa ni mpaka uwe na wazazi waelewa kimsingi nadhani shule pia inasaidia sana pamoja na hekima.
Ulikuwa unaogopa nn sasa madam. Ha ha!of course me kabla sjaolewa honestly sikua tayari mwenzangu ndio alikua tayari ilibidi mama aniweke chini alhamdulillah niko ndoani now so hekima za wazazi pia ni muhim
ni story ndefu sana lakini hata sasa hivi najishangaa sjui nilichokua naogopa kikubwa mno kipiUlikuwa unaogopa nn sasa madam. Ha ha!