Yupi ni mke bora kwa mtazamo wako (wanaume)

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,109
18,326
1. Mwenye uwezo wa juu wa kukuhudumia, kimapenzi,kulea watoto na familia yote ukiwemo na wewe mwanaume, hata kama hana elimu ya kutosha.
2. Mrembo hadi wanaume wanajikwaa, lakini sifa ya kwanza hapo juu sio sana kwake.
3. Elimu ya chuo kikuu na kazi anayo lakini sifa ya kwanza pale juu si sana kwake.

Mawazo yako
 
Mwenye uwezo wa kuplay her part as a woman. Tusianze kutafutana ubaya wa ooh, sijui tuko sawa!!
 
woman-feeding-man.png


Huyu ndie Mke bora kwa mtazamo wangu.............. LOL
 
Back
Top Bottom