Waturuki wanazungumza Kiingereza? Nani alikudanganya Waturuki ni wazungu?
Kua ujifunze. Najua utaacha.Usipaniki.
Kua ujifunze. Najua utaacha.
Hebu andika hiki ulichoandika hapa kwa Kiingereza. La sivyo ni vyema ukakaa kimya.Kuwa mpole kama hajui ni hajui tu. Kubali ukweli.
Changanya vitu viwili au zaidi.intermingle maana yake nini mkuu..?
nimemsikia mara nyingi sana akitamka sijui alipata wapi haka ka vocabularyChanganya vitu viwili au zaidi.
Lakini ilipotumiwa na mheshimiwa si sehemu yake, yeye mwenyewe nilimuona anacheka baada ya kutamka 'intermingle' akiashiria anajua ameingia chaka kama si kujua basi alifanya makusudi kuwafurahisha watani zake akina Godlisten
Huyo mheshimiwa wa katikati anapata wakati mgumu sana kumwelewa mukulu. Facial expression tells everything
waturuki ni wazayuniUsipaniki.
wa kwanzaUkianzia kulia je?
Mkuu wamatumia kituriki,kiarabu na lugha ya malkia...mbona Dk Slaa ana lugha zaidi ya sita za kataifa? Iweje kwa huyu wetu lugha gongana?Waturuki wanazungumza Kiingereza? Nani alikudanganya Waturuki ni wazungu?
Hebu andika hiki ulichoandika hapa kwa Kiingereza ili tujue moja.Mkuu wamatumia kituriki,kiarabu na lugha ya malkia...mbona Dk Slaa ana lugha zaidi ya sita za kataifa? Iweje kwa huyu wetu lugha gongana?