Yupi msanii wako bora wa hip hop Tanzania unayemkubali na kwanini huyo na si wengine??

Hahahahah.. Dizasta hatari sana tena zaidi ya sana... Sema nn watu sio wana HIP HOP ni wapenzi wa HIP HOP...

Ukiishi HIP HOP kama maisha yako ya kila siku utafurahi sana.

Na hapa ndio utajua kwann KRS MOKO "Taecha" alisema nguzo zipo Tisa, aliongeza...

1.Street Entrepreneurship... Angaika upate msosi kupitia hip hop.

2.Street Language.. Watu wa mtaa tuna lugha yetu na iko shkopa ile kimeno meno askari wangu

3.Street Fashion... Vaa ki-Hip Hop na utapendeza sana

Mixer na zile mingine...

Dizasta ana lile jiwe linaitwa Sista... Anakuambia sista kadata sista ana mori/ sista anataka nimuite shori..
Heshima kwako Mkuu,
Naona wakikuchanja na nyembe Damu yako itatililika hip hop.

Dizasta vina nimesikiliza nyimbo zake nyingi,pale anapotumia street language ndio huwa ananiacha hoi hakika Hip hop ni raha sana.

Mechi Jangwani Mechi bihafra/
Bila konyagi bila viagra/

Kivipi uniuzie wakati Muumba kukupa bure/
Mama rose naye alikuwa ananikejeli kija hauhau ngoma za kibosi utafeli/
Akaja nikam'pikia dinner la kisomi bao nane mpaka akataja jina la utotoni/.


Dizasta vina namkubali aisee.
 
1. Mbwa
2. Ngosha
3. Makalla
4. Uno
5. Wa ukoo

Nikk nashindwa nimweke wapi. Anachowashinda wote hawa ni kakamilika yeye. Swaggs zipo..freestyles..na vitu vingine.

Ila kuna huyu mtu alishapotea duniani f. Nelly. Salute Kwake
UPO vizuri Mkuu,
Nikki mbishi hata Mimi huwa napata wakati Mgumu katika orodha yangu.ukipata kusikiliza nyimbo zake nyingi utangudua Jamaa karibia kila nyanja yupo vyema.

Huku tunatoa kucha, tunang'oa meno/
Unaweka sawa kwa vitendo ukizugua kwa maneno/
Para mpole machoni usoni ni popo bawa.

---- mabwepande noooma--
 
UPO vizuri Mkuu,
Nikki mbishi hata Mimi huwa napata wakati Mgumu katika orodha yangu.ukipata kusikiliza nyimbo zake nyingi utangudua Jamaa karibia kila nyanja yupo vyema.

Huku tunatoa kucha, tunang'oa meno/
Unaweka sawa kwa vitendo ukizugua kwa maneno/
Para mpole machoni usoni ni popo bawa.

---- mabwepande noooma--
Nikk next level mkuu
 
Kwangu mm
Songa
Maalumu Nash
Fid q
Ngwair
One incredible
Jay moe
Sina wa kumtoa hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom